kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 627
halaf kuna mapoyoyo bado yanashangilia hata upupu!Kazi ya kuidhinisha matumizi ya fedha za umma ni za jiwe? Jiwe amechukua kazi za bunge.
Maadili gani yataje.
Ungependa iwe hivyo kwa maslahi ya Mama Tanzania? Kilangila.Sentafu ngugai
Winga teleza shavu la kulia mwakyembe
Shavu la kushoto mgogo kabudi
Striker fosi jiwe
Bila kusahau nyanda Tulia
Bench la ufundi yupo katibu wa bunge
CAG pamoja na kupata washangiliaji kibao kutoka timu ya matamko bila vitendo
Muda si mrefu CAG Ataishiwa pumzi kabisa labda aombe poo kwa jiwe akiwasikiliza wapiga kelele bila vitendo jiwe anaweka katiba kando anapita shortcut CAG CHALIII.... anaebisha hainue kidole juu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndugai ni mgonjwa wa akili!Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.
Kwani Assad akiwekwa pembeni wizi hauwezi kujadiliwa?
Hapana mkuu. Hii iko wazi, hii ni zaidi ya Ndugai. Ndugai anatumiwa tu afanye kazi iliyonuiwa kufanywa. Hili liko wazi sasa.Ndugai anaogopa nini au kuna hela imeliwa?
Utajadiliwa, tena vizuri tu, issue hapa ni hiyo hoja dhaifu ya kijingalao ya kutaka kumweka CAG pembeni.Kwani Assad akiwekwa pembeni wizi hauwezi kujadiliwa?
Naona kama ameshika mpini, angalieni upoyoyo usije geuka!!
msijifanye hamnazo,trilioni 1.5 mlizokula mtazitoa popote penye uwazKazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
mnaacha kuangalia.chanzo cha.kosa na.kwanini limetendwa mnakimbilia ku sympasize na.CAG sasa hivi mnamuonea huruma.wakati.mwanzo mlikuwa.mnamshangilia akazidi.kuw jeuri..mmempoteza ndugu yenu..Ameshindwa kumfutia ubunge lissu sasa anamtafuta CAG, jamaa anapenda sana wenzake wafukuzwe kazi
hahahahaa mmeyaona.yamefika.pabaya ndio.mnaanza kujifanya kutafuta suluhu. mwambieni.CAG ujanja mwingi mbele.kiza..ndio haya.saaa. asiyefunzwa na mamaye ulimwengu humfunza..ndiyo.hayo..CAG na Ndungai wakae wayaongee haya, wote ni watumishi wa wananchi, hizi drama zinatupotezea muda wa kujadili mambo ya muhimu kwa taifa kama vile matumizi mabaya ya Vote 20.