Hati ya Mashtaka dhidi ya CAG Assad: Anachomokaje?

Status
Not open for further replies.
Ndugai anamaliza muda wake mwakani. Tulia anahangaikia jimbo la sugu, akilikwapua analamba uspika. CAG bado yupo yupo. Wananchi tulieni.
 
Mbona mnahangaika hivyo?

Mnatafuta atoke muweke mdhaifu wenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mku lakini kumbuka CAG pia aliulizia lile gari kuandikwa kwa jina la mtu binafsi kule Chadema , bado halijajibiwa pia. Unamanisha na vyama vya upinzani ni vidhaifu pia? Nakama navyenyewe ni vidhaifu kwanini tuvipigie kura ili viendeshe nchi?
 
POROJO TUPU, HAKUNA CHA MASHTAKA WALA NINI. HUO NI UGOMVI BAINA YA MAFISADI NA MLINDA HELA ZA SERIKALI
BAINA YA CHUKI BINAFSI ZA NGUNGAY VS ASSAD
 
Safi sana umetisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana kuna kosa ila mbna km nguvu kubwa sn inatumika
Au mi ndo sielewi
 
Jamaa si aresign tu ili kulinda heshima yake... He is a hero already.
 
Cha kwanza unatakiwa kujua CAG (prof. kikatiba hauko sawa naye) naye ni mmoja kati ya wachache wanaolindwa zaidi yako na katiba
 
Unajielewa kweli...

Shida zote hizi za nini..

CCM hawamtaki maana ataendelea kuwaumbua ufisadi wao...

Na hawapo tayari endelea umbuka.
Je kama Taifa hio ndio njia sahihi?.
Katiba inamlinda sana uyu CAG as an individual
ni vyema kukawa na checks and balance ktk nchi
Japo CCM nao wanatuonyesha their true colors bila woga dahhh
Ngja tuone movie
 
Mkuu Ndugai baada ya gharama ya matibabu yako kuwekwa hadharani mbona umeumia sana aisee ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…