Ndugai Mungu anakuona kwa jinsi unavyogeuza maneno ambayo cag aliyasema! Hakuna mahali cag alisema bunge ni dhaifu bali alisema ni udhaifu wa bunge kutokuchukua hatua za kuishauri serikali!
Nakushauri usome maandiko hasa Zaburi inayotamka kuwa hakuna mwanadamu mkamilifu kwani ni wadhaifu mbele za Mungu! Kwanini hutaki kuambiwa wala kusikia neno dhaifu?
Jiuzulu tu kama kweli wewe siyo dhaifu!