Ripoti zinawekwa kwenye makabati.....Amelata report haijadiliwi. Ulitaka apige makofi? Hiyo kitu inakera..maana unafanya kazi halaf ukiipeleka wanaotakiwa waishughulike wanakausha kama vieawapo. So ni dhaif
Sent using Jamii Forums mobile app
Ovyo kama swali lako!Kazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
Ngoja ,muda si mrefu sakata litahitimishwa rasmi na bingwa kufahamika,hii sakata na ile ya Makonda awajibishwe kwa kuwavuruga nyie wauza ngada iliishaje?,till nao Makonda is RC of dar.
Kwahiyo kuwaacha mkaibe ni heshimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mtu mwenye uwezo wa kumtoa au kumuweka pembeni ASSAD!! Alafu kwanini ccm mnampiga vita CAG? wizi mtaacha lini nyie?Kwani Assad akiwekwa pembeni wizi hauwezi kujadiliwa?
Kazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
Kwani Assad akiwekwa pembeni wizi hauwezi kujadiliwa?
Unafanana Uwezo wa kufikiri sawa na ndugai. Ufafanuzi gani makini!!!Pamoja na Ndugai kupewa makavu na hasimu zake,kiukweli jana ule ufafanuzi alioutoa ulikua makini sana ,ngoja nione mwisho wa sakata hili,japo wanasiasa wamepata mtaji
Anahitaji pesa zingine kuhamishia ofisi yake IndiaNdugai anaogopa nini au kuna hela imeliwa?
Kuna swali nikiwauliza huwa mnapotea kuhusu sakata hili.Ukweli hauhitaji passport wala visa. Popote ukisema ukweli utabaki kuwa ukweli.
Wakati CCM inaacha wizi Chadema inaanza wiziHamna mtu mwenye uwezo wa kumtoa au kumuweka pembeni ASSAD!! Alafu kwanini ccm mnampiga vita CAG? wizi mtaacha lini nyie?
Ripoti zoteeeKuna swali nikiwauliza huwa mnapotea kuhusu sakata hili.
Je ni ripoti ipi ya CAG ilioonesha udhaifu wa bunge?