Hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zina athari gani kwa Tanzania? Tumetoa nini nyuma ya pazia?

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo;

1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina ya Wizara ya Afya na Wizara ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuhusu uwezeshaji wa ujenzi wa Hospitali ya The Emirates – Tanzania Bukoba mkoani Kagera.

2. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuhusu ushirikiano katika uwekezaji kwenye sekta ya madini.

3. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina ya Shirikisho la Vyama vya Biashara na Viwanda vya UAE na Barazala la Taifa la Biashara kuhusu uanzishwaji wa Baraza la Pamoja la Biashara kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu na Tanzania.

Tanzania tunatoa nini huko ya pazia? Hati tatu back to back? Sasa hivi tunaenda kwa spidi kweli kwa Waraabu, ndio tunaondoka kwa Wachina, Ulaya na Wamerekani? Maana kwa Wamarekani Trump kachomoa betri, kwa Ulaya mama kashaharibu na Lissu na kuchamba juu, kwa Wachina ndio hawa wameanza hadi kuchukua biashara za machinga nao tumewakaba kooni, sasa Mwarabu ndio dona katri mpya?
 
Okay sawa.

Ila mabadiliko ya Katiba ya nchi hii ni muhimu sana kwa sasa.

Mikataba kama hiyo ilikuwa muhimu sana kuwekwa Wazi mapema kwa Umma kabla ya kusainiwa kwake. Mikataba ya namna hii Kamwe haikupaswa kuwa Siri.

Utawala wa nchi ya Ukraine iliweka Wazi kabisa kwenye mitandao Rasimu ya Mkataba wake wa madini na Marekani, mpaka Sasa Wananchi wote wa Ukraine wanafahamu fika kabisa kwamba Nini wanatarajia kupata au kupoteza kutokana na Mkataba huo. Watu wa Ukraine wanajua faida au hasara watakazoweza kuzipata kwenye mkataba huo baada ya Mkataba wenyewe kuwekwa Wazi kabisa katika mchakato mzima wa kuingia makubaliano Kati yao
 
Sikuhizi mama zile safari zake za ulaya zimekufa baada ya wazungu kuona huyu mama hajielewi.
Leo wazungu wataanza kumjadili ili awekewe vikwazo vya uchumi
 
Back
Top Bottom