Hatari za kuweka picha za mtoto mtandaoni

Kama unashindwa kusocialise hapa uko siasani unaenda kuinunuwa ban tu bure.

Nitarudi naenda Facebook kwanza ku-upload maphoto kwanza.
Sijashinda ku socialize. Ila kuna watu wana personal vandeta kisa tu tulitofautiana kwenye moja ya topic sasa Mdada naona ana hasira na mimi mpaka leo. Huyu Daudi na Diva Beyonce niko nao poa tu sin shida nao. Kihere here ni huyo Nyumba Kubwa sijui nyumba ndogo:becky::becky:
 
Wewe umejoin humu ndani 2013 una post kwenye mahusiano na mapenzi zaidi ya 1600 ambazo ni 98 percent ya post zako zote. Mimi nipo Jamii Forum toka 2008. Ukijumlisha post zangu zote hazifiki 300. Sipotezi muda kijinga jinga f.a.l.a wewe. Unakaa hapa utadhani unapata pesa. Sishindi hapa jamii forums. Huyo dada anayekusupport ana hasira na mimi nilimpa punch za maana last time kwenye topic ya eti waliojiajiri wamefulia. Sasa mtu mwenye thinking ya aina hiyo nitaongea naye nini. Na wewe ni wale wale upo upo tu.:becky::becky:
Hivi nalo la kupambanua kuwa kuna mitizamo tofauti katika jamii linahitaji uwe member wa muda mrefu jamii forum?
Mambo ya kujoin mara percentage ya post sioni kama ni la msingi, na kama unatofautiana na mtu kwenye thread fulani halafu unaendeleza kwenye thread zingine ukajiona mjanja hiyo ni zaidi ya ufala kama huna hoja una kaa kimya kuliko kuanza kuwavaa watu wakati ulitakiwa kutoa hoja katika maada husika na kama unaona siyo ya viwango vyako una skip unatafuta za viwango vyako ni hayo tu
 
Hoja ya msingi ni kwamba watu wapo judgemental na ndo nilichoongea. Mmeshindwa ku read between the lines mkaanza personal attacks na mimi nikatoka nje ya mada kujibu mashambulizi. Na nina ushahidi wa nilichokuwa naongea. Tuanze analysis ya baadhi ya hizo post zilizochangia.

mtoa mada uko sahihi kabisa watu wapunguze umbumbumbu
Huyu anaamini wanofanya hivi ni mambumbumbu. Je ni kut gani kinamfanya awaone hao mabumbumbu?(Being judgemental and thinking that your way of thinking is better than others)

Nakupata vyema mdau.

After olu ukimuona mtu anambandika mwanae mitandaoni hovyo hovyo kisa mtoto huyo ni mzuri, mzazi huyo Akapimwe akili. I know and i believe watu wanaosumbuliwa na ASD ndio wanakuaga na hiyo tabia.

My point ni kwamba si kila kubandika picha ya mtoto ni tatizo. na hapa ndipo nnapotofautiana na wewe.

As a general rule haifai kubandikq picha za mtoto mitandaoni. nachotaka uelewe ni kwamba there is no general rule without exceptions!

WHAT DO YOU THINK?
Huyu amechangia kama yupo sober lakini bado amewajudge watu

Kutokujielewa tu matumizi ya mitandao jitu kutwa kupost kila analofanya kwenye mitandao sijui iweje hasa watoto ni victim wa hii mana tangia mapema wanawazoesha watoto mwishowe wanakuja kukosa privacy I will never dare to post pictures of my son mpaka akue na aamue mwenyewe

Huyu anaamini hawajielewi ndo maana wanafanya hivyo. Kwa hiyo she is being judgemental too

Maamuzi mazuri natamani wote wawe na msimamo kama wako udharirishaji huu ungekoma, na hili niseme wazi wanawake ndo wanaongooza kwa tabia hii kwa kuwa wao wanajidharirisha wameona haitoshi mpaka kwa watoto

Kwa hiyo umeshaona kwamba wote wanaofanya tofauti na huu msimamo wanakosea. Being judgemental:becky::becky:

Mtoto naye anahitaji privacy sasa mtoto mdogo kachanga malaika wa watu umeshampeleka Facebook Mara instagram for which purpose mpige picha zihifadhi kwenye album sasa siku akikua akazikuta mtandaoni itakuaje wengi wamegeuza mitandao ka album na show off zisizo na maana

Being judgemental. Anajau what is good kwa mtoto ambaye si wake wakati consent ya mtoto before hajafikisha 18 ni ya mzazi

Nakuliza wewe mama mtoto wafikiri nini kufanya hivyo hujuwi kuwa kuna mazara ya mtoto huyo unaweza kumsababishia mathara chungu nzima chonga akili yako wewe mama
Huyu anaamini wanaofanya hivi hawana akili. Being Judgemental. Naye anadhani kwamba anajua what is best kwa mtoto wa mwingine. :becky:

Mkuu nakubalina na wazo lako, sio vema kabisa kupost picha za watoto bila ridhaa yao. mimi nimekoma kuanzia sasa. nimekusoma vizuri
Amekuunga mkono lakini kitu kimoja ambacho amekosa uelewa ni kwamba Mzazi ndo mwenye consent ya mtoto before hajafika 18. Kwanini wazazi huwatahiri vivhanga? je ni kwa ridha yaoo? Kwanini wazai huwatoboa masikio watoto? Je watoto wanakuwa wameridhia? Anything below miaka 18 kwa mtoto as longer as mzazi havunji sheria then yeye ndo mwenye consent.

Kuna shida moja ninayoiona, baadhi ya watu kujaribu kuiga maisha ya wengine, mfano kuna baadhi ya watu kupitia taaluma yao huwahitaji sana kufanya hivyo kama waandishi wa habari, wapiga picha, wafanyaji wa biashara kwa njia ya mitandao(hapa wakiwepo wanaojiuza, jinsia zote). Sasa wengine kupiga picha wanajua ndio fashion/mtindo.

Binafsi sioni shida ya mzazi kuweka picha ya mtoto wake/wao kama familia katika mitandao ya jamii(kama kuna haja). Kutegemeana na nchi, maamuzi ya mzazi/mlezi hutumika hasa mtoto anapokuwa hajafika umri wa utu uzima, tatizo kinakuja pale umri wa mzazi ukiwa bado ni mdogo, au pengine mzazi ana umri mkubwa(adult) lakini hakuna (mental maturity).

Sasa hivi, hata vijana wadogo wanazijua simu(ofcourse it's not a crime), lakini nini wanachokutana nacho huko katika simu? Ni picha zisizo na maadili, video mbaya, n.k.

Watoto hujifunza kwa kuona/kusikia..mfano watoto hucheza na kuiga kwa kusema kaka/dada au baba/mama huwa anafanya hivi..au niliona hivi kwenye simu ya kaka/au kwenye TV. Kisha huiga na kufanya mwenyewe. Sasa miaka michache baadaye mtoto "anapoharibika" tunasema 'amelogwa', 'mtoto amenishinda', 'mtoto wangu sijui amekuwaje'.

Hakuna ubaya mtu kuwa katika mitandao ya kijamii, lakini tutegemee nini mtu akiwa huko na malezi yake hayakuwa mazuri! Niliwahi kukutana na baadhi ya watu (mabinti), ambao kila kitu walichokuwa wanafanya lazima wakiandike mtandao.. picha zinapigwa za kuonyesha miili yao, mara wamegeuka, mara wamebinuka n.k Nikajiuliza hii inafanywa ili iweje? Kwani usasa ndiyo huu?

Leo hii unajianika hovyo hovyo na mitindo ya nywele, nguo katika hiyo mitandao kwa njia ya picha, halafu kesho unakuja kuomba kazi?! Then ukikosa kazi ulalamike!

Kuna watu wanashinda mitandao ya jamii, yaani ukimwambia aende shule au umemwagiza anakuwa 'mzembe mzembe' lakini ameamka asubuhi saa kumi na mbili eti yuko busy anapost na kuchat mitandaoni(mf Facebook)!

Nimependa uchangiaji wa huyu mtu. Amechangia kisomi na yupo open minded. Hakuwa subjective katika view yake. Big up mkubwa:becky:

Hii inatokana na UPUMBAVU na kwa uchache umaskini wa fikra sanjali nakupata mambo kwa kubahatisha...
Another narrow-minded individual who believes that waliachagua kufanya hivyo niwapumbavu na ni maskini wa fikra ila yeye ndo ana akili zaidi. Being judgemental.

Mimi na rafiki yangu yupo Marekani * kwenye taasisi ya Elimu lakn mpaka sasa ameshindwa kutupostia picha za wanafunzi wake jinsi wanavyosoma
Hiki unachosema ni kweli lakini ameshindwa kutoa context ya hiki kitu. In short huruhusiwi kupost picha ya mtoto amabaye sio wako ndo logic behind hii. Lakini haina generalization kwa mtoto ambaye ni wako. Wa kwako ruksa. Nimeongezea tu nyama kuondoa watu wanapotosha wengine. Namaanisha baadhi ya watu.
Hakuna kitu kama hicho...hata marafiki zangu wa dunia ya kwanza wamejaza picha za watoto zao facebook...
Ambacho akiruhusiwi ni ku post picha za watoto wa watu...ile umetembelea sijui shule ya mwanao afu upige picha uweke facebook....ukikutana na wazazi hamnazo watakufilisi aisee ...

Otherwise kwa nini nimfiche mwanagu/wanangu...they are my PRIDE
Huyu msimamo wake ulikuwa ni kutokubalina na maoni ya muanzisha maada. Lakini alipoona tu ni mimi nimepost ile comment ya kuhusu kuwa judgemntal akarukia haraka kuni attack personally. kwa comment hii hapachini

Hivi watu hamuwezi ku argue bila ku refer kwa wazungu...
Kwanza una uhakika wao hawana discussions kama hizi?
fanya research na usi comment kwa perception tu kuwa wazungu ndio wako tofauti...

Kila kitu mzungu this mzungu that...
Kuna watu wambea kama wazungu...
Sababu za kuni provoke anazijua:becky: Kisa ni ka thread tu ka siku za nyuma ngoja niwawekee link hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...wanaume-walioajiriwa-kuliko-waliojiajiri.html. Kwanina alinichagua mimi tu??:becky::becky:

Huwa nawaona kama malimbukeni tu leo kuna mwingine kapost anampeleka clinic hivi kuzaa katoto kamoja imekuwakero sasa wazazi wetu walituzaa kuanzia 7 na kuendelea hawakutafuta sifa za kijinga kama hivyo sijui nini kimeingia hapa yani mtu ana katoto kamoja mfano kajala au h mama au zamaradi kutwa utawakuta wanapost watt wao kwenye mitandao utadhani wamezaa kkoo

Huyu naye Anawaona wanaofanya hivi ni malimbukeni. Being judgemental.

Sasa narudi kwako mzee mzima bwana Daudi. Umesema mtoto wa chini ya miaka 18 haruhusiwi kuwa na account ya facebook kujustify your argument lakini umeshindwa kutoa context yote kwa lengo la kupotosha watu. Umeshindwa kuelezea kwamba any child who is below 18 hana legal mandate ya kutoa consent na consent yake inamilikiwa na mzazi. Na umetumia hii kujustify opinion yako ambayo as if it the right one. Lakini my conclusion ni kwamba argurment yako ipo zaidi personal opinion lakini unataka iwe ndo rule of the thumb kitu ambacho ni wrong.:becky:

Haya Great thinker!!
 
Hoja ya msingi ni kwamba watu wapo judgemental na ndo nilichoongea. Mmeshindwa ku read between the lines mkaanza personal attacks na mimi nikatoka nje ya mada kujibu mashambulizi. Na nina ushahidi wa nilichokuwa naongea. Tuanze analysis ya baadhi ya hizo post zilizochangia.

Huyu anaamini wanofanya hivi ni mambumbumbu. Je ni kut gani kinamfanya awaone hao mabumbumbu?(Being judgemental and thinking that your way of thinking is better than others)

Huyu amechangia kama yupo sober lakini bado amewajudge watu

Huyu anaamini hawajielewi ndo maana wanafanya hivyo. Kwa hiyo she is being judgemental too

Kwa hiyo umeshaona kwamba wote wanaofanya tofauti na huu msimamo wanakosea. Being judgemental:becky::becky:

Being judgemental. Anajau what is good kwa mtoto ambaye si wake wakati consent ya mtoto before hajafikisha 18 ni ya mzazi

Huyu anaamini wanaofanya hivi hawana akili. Being Judgemental. Naye anadhani kwamba anajua what is best kwa mtoto wa mwingine. :becky:

Amekuunga mkono lakini kitu kimoja ambacho amekosa uelewa ni kwamba Mzazi ndo mwenye consent ya mtoto before hajafika 18. Kwanini wazazi huwatahiri vivhanga? je ni kwa ridha yaoo? Kwanini wazai huwatoboa masikio watoto? Je watoto wanakuwa wameridhia? Anything below miaka 18 kwa mtoto as longer as mzazi havunji sheria then yeye ndo mwenye consent.

Nimependa uchangiaji wa huyu mtu. Amechangia kisomi na yupo open minded. Hakuwa subjective katika view yake. Big up mkubwa:becky:

Another narrow-minded individual who believes that waliachagua kufanya hivyo niwapumbavu na ni maskini wa fikra ila yeye ndo ana akili zaidi. Being judgemental.

Hiki unachosema ni kweli lakini ameshindwa kutoa context ya hiki kitu. In short huruhusiwi kupost picha ya mtoto amabaye sio wako ndo logic behind hii. Lakini haina generalization kwa mtoto ambaye ni wako. Wa kwako ruksa. Nimeongezea tu nyama kuondoa watu wanapotosha wengine. Namaanisha baadhi ya watu.

Huyu msimamo wake ulikuwa ni kutokubalina na maoni ya muanzisha maada. Lakini alipoona tu ni mimi nimepost ile comment ya kuhusu kuwa judgemntal akarukia haraka kuni attack personally. kwa comment hii hapachini

Sababu za kuni provoke anazijua:becky: Kisa ni ka thread tu ka siku za nyuma ngoja niwawekee link hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...wanaume-walioajiriwa-kuliko-waliojiajiri.html. Kwanina alinichagua mimi tu??:becky::becky:

Huyu naye Anawaona wanaofanya hivi ni malimbukeni. Being judgemental.

Sasa narudi kwako mzee mzima bwana Daudi. Umesema mtoto wa chini ya miaka 18 haruhusiwi kuwa na account ya facebook kujustify your argument lakini umeshindwa kutoa context yote kwa lengo la kupotosha watu. Umeshindwa kuelezea kwamba any child who is below 18 hana legal mandate ya kutoa consent na consent yake inamilikiwa na mzazi. Na umetumia hii kujustify opinion yako ambayo as if it the right one. Lakini my conclusion ni kwamba argurment yako ipo zaidi personal opinion lakini unataka iwe ndo rule of the thumb kitu ambacho ni wrong.:becky:

Haya Great thinker!!
Wewe hoja yako ni nini, wenzako wamesema wanaopost picha za watoto kwenye mitandao ni malimbukeni wa mitandao na kuwa limbukeni si tusi, wewe kwa mtizamo wako je unaona ni sahihi au si sahihi hivo tu sasa wewe unanilazimisha niwe neutral, mimi siko neutral nimejipambanua kuwa sio sahihi na wengine walio na mtazamo huo wamechangia na kutoa sababu lakini pia ambao hawana mtazamo kama wangu pia wametoa nimeonyesha mfano wawili ambao wanajitahidi kuwakilisha hoja zao kwa lugha nzuri, wewe hoja yako ni ipi sasa? watu wamekuattack labda kwa kuwa umetoa reference ya wazungu kwakuwa mitandao imeanzia kwao na si kila analolianzisha mzungu liko sawa, na mimi sijasema maneno yangu ni sheria ila yule ambaye alikuwa na mtazamo kama wangu nimemuunga mkono, wewe umeanza kwa kukoment kwamba msihalalishe mawazo yenu ndo yakawa sahihi wakati hujatoa hoja yako, kuna wengine wamesema kutumia picha ya mtoto wake kama profile picture hawaoni shida as long as wako happy umeona kuna watu wamewarushia mawe kwa huo mtazamo? wewe umeanza na matusi juu ooh unaniona f.a.l.a kwa mtazamo wangu badala ya kutoa hoja au ndo uliyopata kujifunza humu baada ya kuwa member kwa muda mrefu toka 2008, Mtoto kuwa chini ya mzazi haimaanishi mzazi anaruhusa ya kufanya kila kitu kuna mengine tunafosi tu, kwa mfano mtoto kubatizwa akiwa na umri mdogo haimake sense hata bible inasema aaminie na kubatizwa ataokoka sasa mtoto anaamini nini? hayo mambo ni pamoja na kupost picha kwa mfano tohara za kiafrika kwa wanaume hawatairiwi wakiwa watoto mpaka wafike umri wa balehe sasa haya ya kutairiwa mtoto wa miezi miwili tumekopi huko huko uzunguni bado unataka tuendelee kufanya reference huo ni mtazamo wangu mkuu tusitupiane mawe
 
Nimemaliza. Kama hujaelewa ni wewe tu. Matusi mliyatafuta wenyewe. Na mfano wa kutahiriwa hata hujaelewa kwanini nimeuweka pale umekurupuka tu kujibu kwa emotions. Nimemaliza:becky:
 
Mimi nishaweka mwiko, hakuna picha facebook, wala sijui wapi wapi, hata whatsapp hakuna.
 
Kijana una matatizo zaidi ya nilivyokufikiria...
ooohhh my

Thread ya nyuma...
Unajua nachangia thread ngapi kwa siku mpaka nikukumbuke wewe...
Do your research...

Wala haukuwa kwenye kumbukumbu zangu...

of all threads nikukumbuke kwa lipi? wewe unaona hiyo thread ndo ilukuwa kali sana...nimekutoa thamani...

Te te te kumbe unanikumbuka kiasi hicho kwa ka thread ambacho hata sikuwa na kumbukumbu nacko...
ha ha ha je tukikutana kwenye thread zenyewe itakuwa vipi?????

Yani hata sikuwa na memory nilikuwa nachangia na kina nani kwenye hiyo thread....

So far humu JF kuna mtu mmoja tu ambaye namkumbuka always na kumkwepa...not you...acha kujipa promo...

Hoja ya msingi ni kwamba watu wapo judgemental na ndo nilichoongea. Mmeshindwa ku read between the lines mkaanza personal attacks na mimi nikatoka nje ya mada kujibu mashambulizi. Na nina ushahidi wa nilichokuwa naongea. Tuanze analysis ya baadhi ya hizo post zilizochangia.

Huyu anaamini wanofanya hivi ni mambumbumbu. Je ni kut gani kinamfanya awaone hao mabumbumbu?(Being judgemental and thinking that your way of thinking is better than others)

Huyu amechangia kama yupo sober lakini bado amewajudge watu

Huyu anaamini hawajielewi ndo maana wanafanya hivyo. Kwa hiyo she is being judgemental too

Kwa hiyo umeshaona kwamba wote wanaofanya tofauti na huu msimamo wanakosea. Being judgemental:becky::becky:

Being judgemental. Anajau what is good kwa mtoto ambaye si wake wakati consent ya mtoto before hajafikisha 18 ni ya mzazi

Huyu anaamini wanaofanya hivi hawana akili. Being Judgemental. Naye anadhani kwamba anajua what is best kwa mtoto wa mwingine. :becky:

Amekuunga mkono lakini kitu kimoja ambacho amekosa uelewa ni kwamba Mzazi ndo mwenye consent ya mtoto before hajafika 18. Kwanini wazazi huwatahiri vivhanga? je ni kwa ridha yaoo? Kwanini wazai huwatoboa masikio watoto? Je watoto wanakuwa wameridhia? Anything below miaka 18 kwa mtoto as longer as mzazi havunji sheria then yeye ndo mwenye consent.

Nimependa uchangiaji wa huyu mtu. Amechangia kisomi na yupo open minded. Hakuwa subjective katika view yake. Big up mkubwa:becky:

Another narrow-minded individual who believes that waliachagua kufanya hivyo niwapumbavu na ni maskini wa fikra ila yeye ndo ana akili zaidi. Being judgemental.

Hiki unachosema ni kweli lakini ameshindwa kutoa context ya hiki kitu. In short huruhusiwi kupost picha ya mtoto amabaye sio wako ndo logic behind hii. Lakini haina generalization kwa mtoto ambaye ni wako. Wa kwako ruksa. Nimeongezea tu nyama kuondoa watu wanapotosha wengine. Namaanisha baadhi ya watu.

Huyu msimamo wake ulikuwa ni kutokubalina na maoni ya muanzisha maada. Lakini alipoona tu ni mimi nimepost ile comment ya kuhusu kuwa judgemntal akarukia haraka kuni attack personally. kwa comment hii hapachini

Sababu za kuni provoke anazijua:becky: Kisa ni ka thread tu ka siku za nyuma ngoja niwawekee link hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...wanaume-walioajiriwa-kuliko-waliojiajiri.html. Kwanina alinichagua mimi tu??:becky::becky:

Huyu naye Anawaona wanaofanya hivi ni malimbukeni. Being judgemental.

Sasa narudi kwako mzee mzima bwana Daudi. Umesema mtoto wa chini ya miaka 18 haruhusiwi kuwa na account ya facebook kujustify your argument lakini umeshindwa kutoa context yote kwa lengo la kupotosha watu. Umeshindwa kuelezea kwamba any child who is below 18 hana legal mandate ya kutoa consent na consent yake inamilikiwa na mzazi. Na umetumia hii kujustify opinion yako ambayo as if it the right one. Lakini my conclusion ni kwamba argurment yako ipo zaidi personal opinion lakini unataka iwe ndo rule of the thumb kitu ambacho ni wrong.:becky:

Haya Great thinker!!
 
What is this??? eti toka 2008 wewe unajua watu wana multiple IDs...?
hata kama walijiunga jana...JF wana offer PhD za wakongwe...te te te...kuwa kama uko mda mrefu basi wewe ni the greatest thinker????

Kwenye wengi kuna mengi...

Nashangaa unavaa u monitor wa JF akati unajidai kusema wenzako kuwa judgmental...

Au ndio u freelancer...
Na kama ulitaka nikujue (popularity)...leo kweli ndio nimeku notice...kwanza hata hii jina ndio na notice leo ...

Na una matatizo ya kisaikolojia...maana imebidi niurudie huo uzi uloweka kama link...nimekujua uzuri (kwa kutumia saikolojia yangu ndogo)

Si unaona uliniita bitch na ni tusi kubwa ...lakini mimi tena mtoto wa kike niliye na ma confidence sijakujibu kwa kukutusi, japo nili bold...najua ku handle watu kama nyie...
Ila nawahurumia waliokuzunguka kama mkeo (kama unae) maana kuishi na mtu kama wewe unatakiwa uwe na kipaji...else lazima upate depression...

Wewe umejoin humu ndani 2013 una post kwenye mahusiano na mapenzi zaidi ya 1600 ambazo ni 98 percent ya post zako zote. Mimi nipo Jamii Forum toka 2008. Ukijumlisha post zangu zote hazifiki 300. Sipotezi muda kijinga jinga f.a.l.a wewe. Unakaa hapa utadhani unapata pesa. Sishindi hapa jamii forums. Huyo dada anayekusupport ana hasira na mimi nilimpa punch za maana last time kwenye topic ya eti waliojiajiri wamefulia. Sasa mtu mwenye thinking ya aina hiyo nitaongea naye nini. Na wewe ni wale wale upo upo tu.:becky::becky:
 
What is this??? eti toka 2008 wewe unajua watu wana multiple IDs...?
hata kama walijiunga jana...JF wana offer PhD za wakongwe...te te te...kuwa kama uko mda mrefu basi wewe ni the greatest thinker????

Kwenye wengi kuna mengi...

Nashangaa unavaa u mpnitor wa JF akati unajidai kusema wenzako kuwa judgmental...

Au ndio u freelancer...
Na kama ulitaka nikujue (popularity)...leo kweli ndio nimeku notice...kwanza hata hii jina ndio na notice leo ...

:becky::becky::becky: isiwe tabu. Mi nimemaliza niliyotaka kusema. Usingeniattack personally wala tusingefika huku. Mi nimeshamaliza. KAma unataka kuendelea kubwabwaja we endelea
 
Kuna mshikaji aliweka picha ya demu wake watu wakamwambia "umefanana na shangazi yako", kwa aibu aliondoa picha faster...
 
Hahahahaaa! Huyo dem alionekana mkuwa na kwa huyo jamaa, aisee inauma wakt wewe anaamini ni mrembo ndo unaambiwa hivyo
 
Sure huu Uzi umeshiba aisee. Najiskia kubadilika
 
By
Nianze kwa kukuuliza wewe mzazi; unapoweka picha ya mtoto wako kila hatua tangu akiwa mchanga hadi anaanza kutembea na kuanza shule, alikuomba au ulipata ruhusa yake?

Ingekuwa wewe umepigwa picha bila idhini yako halafu ukaikuta kwenye mtandao utafurahi?

Najua unampenda mtoto wako na ana haki zake za msingi pamoja na kuheshimiwa faragha yake popote alipo. Haiwezekani chochote anachofanya ukiweke kwenye mtandao.

Naomba kueleza madhara yanayoweza kutokea kwa kuweka picha za mtoto wako au wa mwenzako kwenye mitandao hasa mitandao ya kijamii kama facebook , instagram na mingineyo.

Kwanza fahamu kuwa kampuni karibu zote za mitandao ya kijamii zimesajiliwa Marekani, chache zimesajiliwa Ulaya na Asia, lakini karibu zote zinatumia sheria na sera za mataifa hayo.

Katika mataifa hayo wanasisitiza mtoto asijiunge kwenye mitandao ya kijamii hadi atakapofikisha miaka 13, wengine miaka 15 au 16 .

Kampuni zote za mawasiliano zina utaratibu wa kuhifadhi kila kitu kinachotokea kwenye shughuli zao za kila siku kwenye chombo maalumu cha kuhifadhi taarifa za mtandao (server). Kwa hiyo ukiweka picha za mtoto zinahifadhiwa huko hata kama utazifuta.

Hapo awali, nilisema mtoto anahitaji faragha yake, unaporusha picha za mtoto wako kwenye hii mitandao au mawasiliano yoyote, unaingilia faragha yake na huko mbele anaweza kukushtaki wewe au wengine walioingilia faragha yake.

Mtoto anatakiwa kufunzwa kuanzia mdogo kabisa kuhusu faragha yake, nini cha kusema au kutoa na nini asiseme au asitoe. Hii ni pamoja na kwenye mitandao ya kijamii, simu na huduma nyingine za mawasiliano .

Umeshawahi kuona wanasiasa wanaweka picha za watoto wao au ndugu zao wa karibu kwenye mitandao hasa ya kijamii ? unajua ni kwa nini ?

Kwa sababu kila anachofanya yeye kinamwathiri mtoto wake au watu wake wa karibu kwa ubaya au uzuri. Ni rahisi kuweka rehani faragha za watoto na ndugu zake.

Kama ni mtoto wa kike anaweza kuanza kufuatiliwa na ‘mabazazi’ kwa sababu ya picha tu. Watatafuta anapoishi, shule anayosoma na usishangae siku moja akabakwa.

Kwa hisani ya mwananchi tunapata elimu

Hoja yangu:
Kwanini hii tabia imezuka sana wanandoa siku hiyo hiyo mama anaugulia maumivu badala ya baba kumhangaikia mama na mwanae yeye anafuta kamera iko wapi tena siku hizi mchina amerahisisha anamfotoa mtoto na kupost kwenye wall yake ili iweje? kwamba watu wajue na wewe ni kudume cha mbegu au una kizazi? matokeo yake ndo wazazi mnapotofautiana na marafiki zenu mnawatukana mpaka watoto, kuna wengne sijui mtandao gani yule dada anauza pichu anamtukana mtoto wa mwenzaje eti baboon hivi mnahisi watoto wanajisikiaje? unamharibia mtoto future yake bila kujua, ukifikiri ni fahari kuweka picha ya mwanao sijui facebook, twitter, instagarma na kwingne huko ni ushamba na ujinga, labda siku hizi kwa kuwa imekuwa issue sana kupata mtoto but is not fair

Nawasilisha hoja

Mkuu, mada yako nimeikubali. Baadhi ya Hizi simu zetu za android zinakAwaida ya Ku-save picha automatically kwenye google . Yaani MTU anapiga picha baada ya muda KAMa ana BUNDLE LA internet anakuta Picha zimeshaji SAVE kwenye saver ya Google.
Kiasi kwamba swala kuweka picha mitandaoni halikwepeki.
Kwakuwa linafanyika automatic NA SIMU ZENYEWE.
Labda hili LA kukusudia kuweka kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, tango twitter tumblr,vine,Viber nk. NDIO LA KUZINGATIA ,ZAIDI.
BINAFSI NAUNGA MKONO HOJA
 
Back
Top Bottom