Hatari za kuweka picha za mtoto mtandaoni

hujamuelewa mtoa mada..!
yakija kukukuta ndo utaelewa anamaanisha nini..!

Usiogope. ukizingatia mtoto mwenyewe sina.

Ni lazima ukutambue si kila anaetupiaga picha za mwanae yuko wrongi.

Na hata tukija ktk uhalisia ni kwamba wanaotupia picha za watoto wao ni wengi sana isitoshe hasara za kufanyq hivyo ni chache.

Embu nikuulize.

Jaalia mimi niko mbali nq wife. afu ndo kajifungua. kutakua na ubaya gani akinitupia picha za chibebi kwa inbox ya mtandao nnaotumia?

UKUMBUKE Daudi 1 ame generalize kwamba haifai koz mitandao itahifadhi picha hizo.

Cc: Daudi 1.
 
Kutokujielewa tu matumizi ya mitandao jitu kutwa kupost kila analofanya kwenye mitandao sijui iweje hasa watoto ni victim wa hii mana tangia mapema wanawazoesha watoto mwishowe wanakuja kukosa privacy I will never dare to post pictures of my son mpaka akue na aamue mwenyewe
 
Nakupata vyema mdau.

After olu ukimuona mtu anambandika mwanae mitandaoni hovyo hovyo kisa mtoto huyo ni mzuri, mzazi huyo akapimwe akili. I know and i believe watu wanaosumbuliwa na ASD ndio wanakuaga na hiyo tabia.

My point ni kwamba si kila kubandika picha ya mtoto ni tatizo. na hapa ndipo nnapotofautiana na wewe.

As a general rule haifai kubandikq picha za mtoto mitandaoni. nachotaka uelewe ni kwamba there is no general rule without exceptions!

WHAT DO YOU THINK?
Yap nakuelewa bila shaka na haimaanishi kila anayepost picha ya mwanae lazima yamkute mabaya la hasha!, lakin wewe unalichukuliaje hili la katoto kachanga unakafotoa picha na kukaweka facebook ili upate comment au utoe taarifa kwa uma kama na wewe umepata mtoto
 
Kutokujielewa tu matumizi ya mitandao jitu kutwa kupost kila analofanya kwenye mitandao sijui iweje hasa watoto ni victim wa hii mana tangia mapema wanawazoesha watoto mwishowe wanakuja kukosa privacy I will never dare to post pictures of my son mpaka akue na aamue mwenyewe
Maamuzi mazuri natamani wote wawe na msimamo kama wako udharirishaji huu ungekoma, na hili niseme wazi wanawake ndo wanaongooza kwa tabia hii kwa kuwa wao wanajidharirisha wameona haitoshi mpaka kwa watoto
 
Usiogope. ukizingatia mtoto mwenyewe sina.

Ni lazima ukutambue si kila anaetupiaga picha za mwanae yuko wrongi.

Na hata tukija ktk uhalisia ni kwamba wanaotupia picha za watoto wao ni wengi sana isitoshe hasara za kufanyq hivyo ni chache.

Embu nikuulize.

Jaalia mimi niko mbali nq wife. afu ndo kajifungua. kutakua na ubaya gani akinitupia picha za chibebi kwa inbox ya mtandao nnaotumia?

UKUMBUKE Daudi 1 ame generalize kwamba haifai koz mitandao itahifadhi picha hizo.

Cc: Daudi 1.

mkuu..! nilivomuelewa mtoa mada si kutumiana nyie ktk inbox zenu, bali ni kuweka kama profile pic vile au kupost katka albam yake pia hata kuwatumia marafiki ambao hawana uhusiano wowte wa muhim na mtoto..! coz ukumbuke hao ni friends wako wewe na sio mtoto..!
 
Asante kwa msaada wako atakuwa amekuelewa vizuri
 
Some-people-need-to-realize-that-Facebook-is-a-social-network%7C2C-not-their-diary.-status.jpg
 
Maamuzi mazuri natamani wote wawe na msimamo kama wako udharirishaji huu ungekoma, na hili niseme wazi wanawake ndo wanaongooza kwa tabia hii kwa kuwa wao wanajidharirisha wameona haitoshi mpaka kwa watoto

Mtoto naye anahitaji privacy sasa mtoto mdogo kachanga malaika wa watu umeshampeleka Facebook Mara instagram for which purpose mpige picha zihifadhi kwenye album sasa siku akikua akazikuta mtandaoni itakuaje wengi wamegeuza mitandao ka album na show off zisizo na maana
 
Usiogope. ukizingatia mtoto mwenyewe sina.

Ni lazima ukutambue si kila anaetupiaga picha za mwanae yuko wrongi.

Na hata tukija ktk uhalisia ni kwamba wanaotupia picha za watoto wao ni wengi sana isitoshe hasara za kufanyq hivyo ni chache.

Embu nikuulize.

Jaalia mimi niko mbali nq wife. afu ndo kajifungua. kutakua na ubaya gani akinitupia picha za chibebi kwa inbox ya mtandao nnaotumia?

UKUMBUKE Daudi 1 ame generalize kwamba haifai koz mitandao itahifadhi picha hizo.

Cc: Daudi 1.
Mkuu kumbe ulinielewa vibaya sijasema matumizi ya mitandao hafai itategemeana na unavyoyatumia, ninazungumzia kupost kwenye wall yako au kutumia kama profile picture ya mtoto, kama atakutumia picha kupitia inbox na wewe ukabaki nayo kama kumbukumbu yako hina shida lakini sio amekutumia na wewe unapost thanx God i have got a baby boy ili upate koment za marafiki
 
Nakuliza wewe mama mtoto wafikiri nini kufanya hivyo hujuwi kuwa kuna mazara ya mtoto huyo unaweza kumsababishia mathara chungu nzima chonga akili yako wewe mama
 
Mtoto naye anahitaji privacy sasa mtoto mdogo kachanga malaika wa watu umeshampeleka Facebook Mara instagram for which purpose mpige picha zihifadhi kwenye album sasa siku akikua akazikuta mtandaoni itakuaje wengi wamegeuza mitandao ka album na show off zisizo na maana
Gooood, umenibariki na msimamo wako waambukize wengine, kuna jirani hapa kwangu yuko very addicted na facebook anaweza akawa anaunguza mboga na yeye amekaa hapo hapo kisa facebook
 
Nakuliza wewe mama mtoto wafikiri nini kufanya hivyo hujuwi kuwa kuna mazara ya mtoto huyo unaweza kumsababishia mathara chungu nzima chonga akili yako wewe mama
Katika hili hata wanaume tumo japo kwa asilimia kubwa ni la wanawake
 
Kweli mkuu,umeongea kutu mhim sana,mim ninauhakika kuna watu wataja kushanga picha zao zinatumika visvyo kulingana na technolojia yeneyewe inakuwa kila kunavokucha.
Let us take care of ourselves
 
Yap nakuelewa bila shaka na haimaanishi kila anayepost picha ya mwanae lazima yamkute mabaya la hasha!, lakin wewe unalichukuliaje hili la katoto kachanga unakafotoa picha na kukaweka facebook ili upate comment au utoe taarifa kwa uma kama na wewe umepata mtoto

Hapo sikubaliani napo.

Sipendagi kuapdet status za madogo kwa public.

na sikubaliani na wasaka comment za fb kiasi cha kuapdet kila hatua ya mtoto.

hope tumeshaelewana.
 
Mkuu nakubalina na wazo lako, sio vema kabisa kupost picha za watoto bila ridhaa yao. mimi nimekoma kuanzia sasa. nimekusoma vizuri
 
Back
Top Bottom