Hatari za kuweka picha za mtoto mtandaoni

Mimi mama yangu alinipiga picha nikiwa natambaa,picha ndo hiyo moja ,nilipokuwa mkubwa niliiba maana asingenipa,ikapotea hamna tena kumbukumbu,kungekuwa na mitandao ya kuupload enzi hizo Leo ningekuwa na picha hata 100,usiamini kabisa kuwa ukihifadhi kabatini unalinda privacy bali kupoteza kumbukumbu

Very true..kuna kupoteza kumbukumbu na picha kuharibika (unyevu)

Hata sisi kwetu tumekuwa tunaibiana sana picha za wazazi kila mtu anataka kumbukumbu...

Siku hizi wala...FB imerahisisha...tuna tag tu...
Wauza albamu watajijua...
 
Wanaoathirika ni wale wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii,kama mtu unajiheshimu na picha zote zinamake sense hamna athari kabisa,ishu watu mfano fb wana friends zaidi ya 4000 yaani ndugu hawazidi wawili au hamna kabisa,Kwanza watu wenyewe wanablock ndugu ili madudu yao isionekane,list yote wahuni subiri afanye kosa uone kuumbuliwa
 
Hapa basi watu wanachanganya madawa...
Naona wana refer kwa watu hao wenye marafiki 5000...

Maana ukishakuwa na marafiki 5000 chances are wengi hata kuwajua huwajui...ndio wanawaita fans...fans my foot!

Mimi nina marafiki limited...na natolea nje requests nyingi sana...kama sikujui sikukubali no matter what...
niko na former school mates na ndugu...tena school mates wengine sijawatia machoni toka utotoni...leo hii nawaona hata watoto wao thru picha ...thanks to FB
 
tuache tu mitandao inasaidia jamani,zamani kupiga simu gharama,nje watu tunapiga simu kwa ndugu zaidi ya sh15000 just call jioni au usiku mmoja,Leo mtu unatumia viber au whatsapp unaongea na friends viber hata masaa mawili hata Skype the same,mitandao inasaidia sana
 
apost jf?..........
Aiseee hata humu kumbe inaruhusiwa kutumia picha za watoto, naona mpambano ni mkali watu wanajenga hoja za msingi kila mtu kutoa mawazo yake tuendelee kupata elimu
 
Nakubaliana na mtoa thread! Hizi social networks zina zina athari hasi na chanya.mtandao ambao unatumika vibaya dana ni fb.watu wana kawaida ya kutupia picha zao hasa wasichana wakiwa katika mikao ya kimahaba,wao hudhani ni jambo jema tu kumbe linawaathiri! Nina mashaka hata kupata mchumba kama unatupia picha za nusu uchi au uchi ni vigumu! Pia ni rahisi watu kusoma tabia yako!
 
Ni Tanzania pekee ambapo watu ambao ni ignorant wanafikiri wanaweza wakawaambia wengine how to live their life. Watu hawaelewi nini maana yakuwa tolerant kwa wengine as longer hawakubugudhi katika kuvuta pumzi. Watu wako very judgemental na maisha ya wengine wakati maisha yao yanawashinda. Wazungu hawanaga time ya kudiscuss ujinga huu. Watu wako blinded na opinion zao na wanajiona wanachofikiria wao ndo bora kuliko wanachofikiria wengine.
 
Hivi watu hamuwezi ku argue bila ku refer kwa wazungu...
Kwanza una uhakika wao hawana discussions kama hizi?
fanya research na usi comment kwa perception tu kuwa wazungu ndio wako tofauti...

Kila kitu mzungu this mzungu that...
Kuna watu wambea kama wazungu...

What is your point? Tunawachukulia kama point of reference sababu wameendelea kushinda sisi tuliokaa tuko busy kutoa instruction of how others should live their lives. Wewe hunisumbui akili. Be open minded Bitch
 
te te te...sure you know how to mind your business...and what are you doing in this thread? econometrics...????
 
Na wao ni normal human being sio kwamba wako sayari nyingine kuendelea kusiwe sababu ya Ku undermine our dignity wale ni wao and we Africans ha hapa hatufunfishani mtu afanye hichi kila mtu na mtazamo wake na akipendacho kufanya hashikiwi fimbo just expression of feelings
 
KWa hiyo nmnataka kusemaje? Mimi nimeongelea post iliyopo hapa jukwaani. Hizo feelings zenu na opinion zenu kaeni nazo nyie wenyewe. Kama hupendelei kitu ni wewe. Tujifunze kutokuwa judgemental kwa kila kitu na kuangalia mambo with sober minds. Sipendi tabia ya kuhukumu wengine wakati maisha yako binafsi mtu yanakushinda. Mtu unakazana mfano unasema weakness za ndoa ya mwenzio wakati yako haipo perfect na unajiona upo right.
 
KWa hiyo nmnataka kusemaje? Mimi nimeongelea post iliyopo hapa jukwaani. Hizo feelings zenu na opinion zenu kaeni nazo nyie wenyewe. Kama hupendelei kitu ni wewe. Tujifunze kutokuwa judgemental kwa kila kitu na kuangalia mambo with sober minds. Sipendi tabia ya kuhukumu wengine wakati maisha yako binafsi mtu yanakushinda

No one is judgemental here mawazo yako tu ndo yamekupelekea kufikiria hivo kila mtu na mtazamo wake tu hamna aliyemhukumu ni kama wewe unavotuhumu wenzako mwenye mawazo tofauti kwa kuwaita wako judgemental wakati wametoa mitizamo yao kama we ulivo toa wa kwako kikubwa ni kila mtu afanye akisiacho na kuheshimu mitazamo ya watu wengine
 
te te te...sure you know how to mind your business...and what are you doing in this thread? econometrics...????
Sijamjudge mtu kwa anavyoishi hiyo ndoi ku mind my business. I am just trying to be open-minded. Nina haki ya kuwa kwenye hii thread na sioni vipi nimeingilia biashara za mtu. Nimetoa msimamo ambao upo neutral kwamba I don't want to judge people. Na kwanini mnapenda kujudge watu? Mnapata faida gani? Nina exposure kubwa kwenye maisha na nimeishi na watu wa culture mbali mbali. Nilichojifunza ni kwamba una air your opinion you have to be considerate sio tu kuongea kitu sababu unadhani upo sahihi. Just be neutral. Don't judge people without knowing what makes them do certain things. Be open minded.
 
No one is judgemental here mawazo yako tu ndo yamekupelekea kufikiria hivo kila mtu na mtazamo wake tu hamna aliyemhukumu ni kama wewe unavotuhumu wenzako mwenye mawazo tofauti kwa kuwaita wako judgemental wakati wametoa mitizamo yao kama we ulivo toa wa kwako kikubwa ni kila mtu afanye akisiacho na kuheshimu mitazamo ya watu wengine
Sijasema mimi niko sahihi. Nimesema tuache kuhukumu. Kipi unachodhani ni sahihi. Ningehukumu ningeanza kwa kukosoa thread kwa kusema kitu sahihi ni hiki. Bali nimekuwa neutral kwa kusema it is good not to judge people. That is just a sobher statement. Si reason kwa emotions.
 
Back
Top Bottom