Peter Malejehe
Member
- Dec 19, 2013
- 21
- 8
Wenzetu Wanafatilia sana na wapo makini and serious na sheria hii
Ni vema mkuu, haka kamtindo ndo kameshamiri sana siku hizi wengine wanatumia kama kinga anapost pumba unashindwa kumtamua kwa kuwa ametumia picha ya mwanaeHapo sikubaliani napo.
Sipendagi kuapdet status za madogo kwa public.
na sikubaliani na wasaka comment za fb kiasi cha kuapdet kila hatua ya mtoto.
hope tumeshaelewana.
Wangu nitamuweka akija..potelea mbali na anishitaki akikua.
Mimi na rafiki yangu yupo Marekani * kwenye taasisi ya Elimu lakn mpaka sasa ameshindwa kutupostia picha za wanafunzi wake jinsi wanavyosoma
Kumbe wewe kwanini uweke wako? hakuna mzazi ambaye hafurahii kupata mtoto siku hizi kuna mambo ya kuptea kwa watoto kesi zinazidi kuongezeka hivi huwez kufikiria kama hili linaweza kuchangia? kuna mtu hapa kasema akitaka kujua fulani kama anamtoto anagoogle tu anajua je akijua anafanyia nini?Hiyo sawa ni marufuku...nimesoma Japan those days na tuliwai tembelea nursery moja tukaambiwa pigeni tu picha na hao watoto lakini please msiziweke kwenye social media...mtashitakiwa...
Hata mimi sitapenda nikute picha ya mwanangu mtandaoni imewekwa na mtu ambaye sijampa authority ya kufanya hivyo...maana huwezi jua anazitumia vipi zaidi ya hapo...
Siku ukiyapata utashawishika, maana wengine ni tomaso mpaka mshuhudie ndo mnaaminiHauja nishawishi bado juu ya hayo madhara...labda kama unaweka picha za utupu za mtoto...
Otherwise any proud mother or father lazima apende ku show of their 'min me'
Kweli, mi sioni kama kuna tabu yoyote kuweka picha ya mwanangu km watsup profile pic.Kila ntaweka tu yangu jamani.My dear usipende kuishi kuangalia watu wanasema au wanakuonaje?
hiyo wasap sio mtandao wa kijamii?
Mkuu watu wamegeuza mitandao ya jamii kama album ya kuhifadhi picha zao.
Kumbe wewe kwanini uweke wako? hakuna mzazi ambaye hafurahii kupata mtoto siku hizi kuna mambo ya kuptea kwa watoto kesi zinazidi kuongezeka hivi huwez kufikiria kama hili linaweza kuchangia? kuna mtu hapa kasema akitaka kujua fulani kama anamtoto anagoogle tu anajua je akijua anafanyia nini?
Kumbe wewe kwanini uweke wako? hakuna mzazi ambaye hafurahii kupata mtoto siku hizi kuna mambo ya kuptea kwa watoto kesi zinazidi kuongezeka hivi huwez kufikiria kama hili linaweza kuchangia? kuna mtu hapa kasema akitaka kujua fulani kama anamtoto anagoogle tu anajua je akijua anafanyia nini?
SO far hujatoa sababu za mimi kuona vibaya ku share picha za watoto wangu...
Sasa mtu aki google kama nina watoto inanihathiri vipi mimi..?
Tunarudi kule kule...kuwa na watoto ni siri,aibu, au dhambi?
Mimi nasema labda hao wenye watoto wa ujanani...mimi niko proud na watoto wangu kuliko hata elimu nilonayo au achievement yoyote ile maishani mwangu...!!!!
Tuna differ aisee....
Otherwise kama mtu unapenda kuwa that private usingekuwepo kwenye social media at first place...
hi video ya juzi ya house girl wa huko uganda isingewekwa mtandao hiyo ishu isingekuwa na uzito,leo watu wametambua mpaka wapo makini na ma-housegirl,ila ishu imekuwa hot kwa ajili ya kusambaa
Wala sijamaanisha hivyo, kuna watu wanaweka profile picha ya wanao halafu mambo wanayopost ni aibu huko ni kumdharirisha mtoto kwanini wasiweke zao ili mtu akipost pumba unamuona sura yake, haya achana na hayo yaliyoniboa zaidi ni hawa watu wazima walikuwa wanatukanana kwenye viblog vyao matusi yameisha wamehamia kwenye familia zao moja kwa moja kwa watoto mtu umekaa na mimba ukalea miezi tisa then mwanao wanamuita baboon kweli lakin hayo yanatokana na kutumia na kupost picha za watoto sijui kwa mtazamo wangu ninaliona hivyo na hayo ndo madhara ninayoongelea yakiwemo na hayo ya kupotea na kuibiwa yanaweza kwa asilimia fulani yanasababishwa na haya mambo, ni mtizamo tu kutofautiana ruksa.Yani watoto wanaopotea wote ni sababu wazazi wao waliweka picha zao kwenye social media..
Rama mla vichwa alikuwa na account facebook?
Bado sijaona risk yoyote so far...
Mitandano ni hatari kwa watoto wakubwa teenagers...lakini my min me eti nikimweka picha yake kwenye mtandao ni hatari...kivipi?
Umeona eeehhh
Na nasikia team ya wataalamu wamejitolea kumfanyia uchunguzi wa kina huyu mtoto...kuona kama yuko okay...
Kwa uwazi wao wamesaidia wazazi wengine kufikiria kununua Nanny cam
Na habari imekuwa gumzo mpaka blogs za Nigeria...