hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
Naweza kukubaliana na wewe kwa namna moja. On the other hand, nadhani waswahili wana msemo wao unasema "Moyo wa mtu kichaka"
Mawazo yaliyoujaza moyo wako ndio uhalisia halisi wa maisha yako na mwenendo wako ambavyo kwa ujumla unajenga tabia yako ya kila siku. Mi sidhani kama kuna tatizo sana especially unapotumia picha ya mtoto ambayo iko sawa bila matatizo yoyote kwa ajili ya social media. Tatizo kubwa nnaloliona apart from the danger uliyoianisha hapo juu ya uhalifu na kadhalika, ni jinsi mahusiano yetu sisi kwa sisi yalivyoharibika. Ukifikia stage ya kumtukania mtu watoto wake au anyone close to him/her badala ya kufocus na uliegombana nae, nadhani hata akili yako ya kawaid atunaweza kui question kama inafanya kazi sawa sawa.
Waungwana wanaepusha balaa na magomvi ila mara nyingi wapumbavu ndio wanaoyaendeleza. Hili liko wazi hata katika vitabu vya dini. Jamii yetu imeshakengeuka na kwa kiasi kikubwa imechangiwa na wapumbavu wachache kwenye hizi social media kuwa corrupt wengine walio waungwana.
Mi nadhani huu ndio mtazamo wangu.