Hatari za kuweka picha za mtoto mtandaoni

Hatari za kuweka picha za mtoto mtandaoni

Wala sijamaanisha hivyo, kuna watu wanaweka profile picha ya wanao halafu mambo wanayopost ni aibu huko ni kumdharirisha mtoto kwanini wasiweke zao ili mtu akipost pumba unamuona sura yake, haya achana na hayo yaliyoniboa zaidi ni hawa watu wazima walikuwa wanatukanana kwenye viblog vyao matusi yameisha wamehamia kwenye familia zao moja kwa moja kwa watoto mtu umekaa na mimba ukalea miezi tisa then mwanao wanamuita baboon kweli lakin hayo yanatokana na kutumia na kupost picha za watoto sijui kwa mtazamo wangu ninaliona hivyo na hayo ndo madhara ninayoongelea yakiwemo na hayo ya kupotea na kuibiwa yanaweza kwa asilimia fulani yanasababishwa na haya mambo, ni mtizamo tu kutofautiana ruksa.

Anayekutusi hakuchagulii tusi..
Hata kama wasingeweka picha za watoto mitandaoni bado watu wangewajua watoto wao tokana na umaarufu wao...
Unless unambie hata super market hawataongozana na watoto wao...au hata hospitalini wataomba housegirl awapelekee...

Kuna siri jamani lakini sikubali kusema mtoto au mke/mume ni siri...big NO...

Kuna huyu Geneveive muigizaji wa Nigeria...alizaa akiwa 14; mpaka leo hakuna anayemjua mtoto wake..
Na sijasikia hata mtu mmoja anamsifia kwa hilo...she must be sick...
Watu wanachanganya privacy na shame...
iweje mwanao au mumeo/mkeo awe private?
 
Tena mimi huwa ni opposite...
Nawafikiria vibaya wanaoficha watoto wao...
Ndio hao wanaolewa wakisema hawana watoto kumbe wamewaficha...
Kwa nini uone haya kushare picha ya mtoto wako na marafiki zako...
FB is for close friends...na wala si site ya kiofisi...ma proffesionals tunakutana linkedin...kule hakuna family photos

Uko Sawa kabisa,Sijapata facts ya mtu kuniambia ni vibaya.Kama huna ugomvi na MTU anaanzaje kutafuta kumdhuru mtoto wako.
 
Nianze kwa kukuuliza wewe mzazi; unapoweka picha ya mtoto wako kila hatua tangu akiwa mchanga hadi anaanza kutembea na kuanza shule, alikuomba au ulipata ruhusa yake?


Ingekuwa wewe umepigwa picha bila idhini yako halafu ukaikuta kwenye mtandao utafurahi?


Najua unampenda mtoto wako na ana haki zake za msingi pamoja na kuheshimiwa faragha yake popote alipo. Haiwezekani chochote anachofanya ukiweke kwenye mtandao.


Naomba kueleza madhara yanayoweza kutokea kwa kuweka picha za mtoto wako au wa mwenzako kwenye mitandao hasa mitandao ya kijamii kama facebook , instagram na mingineyo.


Kwanza fahamu kuwa kampuni karibu zote za mitandao ya kijamii zimesajiliwa Marekani, chache zimesajiliwa Ulaya na Asia, lakini karibu zote zinatumia sheria na sera za mataifa hayo.


Katika mataifa hayo wanasisitiza mtoto asijiunge kwenye mitandao ya kijamii hadi atakapofikisha miaka 13, wengine miaka 15 au 16 .


Kampuni zote za mawasiliano zina utaratibu wa kuhifadhi kila kitu kinachotokea kwenye shughuli zao za kila siku kwenye chombo maalumu cha kuhifadhi taarifa za mtandao (server). Kwa hiyo ukiweka picha za mtoto zinahifadhiwa huko hata kama utazifuta.


Hapo awali, nilisema mtoto anahitaji faragha yake, unaporusha picha za mtoto wako kwenye hii mitandao au mawasiliano yoyote, unaingilia faragha yake na huko mbele anaweza kukushtaki wewe au wengine walioingilia faragha yake.


Mtoto anatakiwa kufunzwa kuanzia mdogo kabisa kuhusu faragha yake, nini cha kusema au kutoa na nini asiseme au asitoe. Hii ni pamoja na kwenye mitandao ya kijamii, simu na huduma nyingine za mawasiliano .


Umeshawahi kuona wanasiasa wanaweka picha za watoto wao au ndugu zao wa karibu kwenye mitandao hasa ya kijamii ? unajua ni kwa nini ?


Kwa sababu kila anachofanya yeye kinamwathiri mtoto wake au watu wake wa karibu kwa ubaya au uzuri. Ni rahisi kuweka rehani faragha za watoto na ndugu zake.


Kama ni mtoto wa kike anaweza kuanza kufuatiliwa na ‘mabazazi’ kwa sababu ya picha tu. Watatafuta anapoishi, shule anayosoma na usishangae siku moja akabakwa.

Kwa hisani ya mwananchi tunapata elimu

Hoja yangu:
Kwanini hii tabia imezuka sana wanandoa siku hiyo hiyo mama anaugulia maumivu badala ya baba kumhangaikia mama na mwanae yeye anafuta kamera iko wapi tena siku hizi mchina amerahisisha anamfotoa mtoto na kupost kwenye wall yake ili iweje? kwamba watu wajue na wewe ni kudume cha mbegu au una kizazi? matokeo yake ndo wazazi mnapotofautiana na marafiki zenu mnawatukana mpaka watoto, kuna wengne sijui mtandao gani yule dada anauza pichu anamtukana mtoto wa mwenzaje eti baboon hivi mnahisi watoto wanajisikiaje? unamharibia mtoto future yake bila kujua, ukifikiri ni fahari kuweka picha ya mwanao sijui facebook, twitter, instagarma na kwingne huko ni ushamba na ujinga, labda siku hizi kwa kuwa imekuwa issue sana kupata mtoto but is not fair

Nawasilisha hoja

Exactly,watu oh Natalia weka picha what's up .mimi sina Facebook wala tweeter account .nilifunga hayo kuepuka balaa na marafiki wenye roho za kwa nini.Mie old school sasa text na email .anaetaka picha lazima ninamfahamu haswa na I will text you .hivi watu wanapata wapi muda ?hapa nipo 100 percent mother ,75 percent wife,50 percent my parents ,25 percent my siblings 10 percent in laws,5 percent friends.
 
Najua utajisikia vizuri sana endapo utaambiwa mtoto wako ni mzuri au ni handsome boy, akiambiwa ni baboon utaelewa nii nasema, wanawake wengi wamejikuta katika mazingira magumu kwa kupost picha huko kwenye mitandao wengine tumeambia wamebakwa na wengine kuuawa hao ni watu wazima na walipost kwa hiari yao je akija kufanyiwa mtoto ambaye picha yake umepost wewe mtandaoni kwa kuwa ameumbika huko kuumbika kukamletea matatizo na akigundua kwamba hao waliomletea matatizo waliikuta picha facebook na aliyeweka huko ni baba yake au mama yake hiyo kwako unaiangaliaje? na hapa siongelei mafisadi kama unaowasema wewe

Baboon lol .mtoto wa nani huyo
 
Kuna post moja humu iko jukwaa la habari mchanganyiko yule dada anauza nguo za ndani vyupi vya wanawake na ana blog yake sijui anaitwa nani nimemsahau walikuwa wanatukanana na mwenzake yeye kamtukania mtoto wake na kumuita baboon unafikir mtoto alijisikiaje? hata kama ni mkubwa kiumri hii mitandaoo, wengine wanafua group la family wasapu ili wadiscus mambo ya familia mwisho wake ni umbea na usengenyaji hii mitandao imekuja kubomoa familia

Huyo mtoto ni wa nani? Je huyo mtoto ni mzuri au ndio Kama babbon .huyo mama ake je anatukanaga watoto wa watu ?sidhani mtu waweza amka na kumtusi mwana wa mtu bila sababu
 
Baboon lol .mtoto wa nani huyo
Kuna mtu kaambiwa mtoto wake kafanana na baboon, but wengine kwa mitazamo yao wanaona hamna shida kutmia picha za watoto wao as profile picture kwenye hiyo mitndao
 
Huyo mtoto ni wa nani? Je huyo mtoto ni mzuri au ndio Kama babbon .huyo mama ake je anatukanaga watoto wa watu ?sidhani mtu waweza amka na kumtusi mwana wa mtu bila sababu
Ni katika ugomvi wao wazazi mara ooh nimeolewa na muzungu sijui mara mtoto wako wanamuita baboon hata kama unatukanana ukifika stage hii utajitahidi kuvumilia lakni inauma utajikaza tu kwakuwa ndo matukano yenyewe
 
Mange kimambi ndio kinara

Oh kumbe huyu dada maskini wewe .nakumbuka kwenye blog Moja kuna mtu alisema Ana mtoto Kama waziri wasira Sijui ndio huyo.Hakuna mtoto MUBAYA duniani jamani
 
Hiyo sawa ni marufuku...nimesoma Japan those days na tuliwai tembelea nursery moja tukaambiwa pigeni tu picha na hao watoto lakini please msiziweke kwenye social media...mtashitakiwa...

Hata mimi sitapenda nikute picha ya mwanangu mtandaoni imewekwa na mtu ambaye sijampa authority ya kufanya hivyo...maana huwezi jua anazitumia vipi zaidi ya hapo...

Ivi ni kweli proud woman hawaoni chaku update isipokuwa status za mwanawe?

proud woman anatofautiana vipi na wale wanaoanika ma.titi na mapa.ja???

upepo ukigeuka huoni kwamba status hizo zinaweza kutumika kinyume kiasi cha kukuumiza kihisia?
 
Nakubaliana na wewe ni makosa. Mimi nilishakataa kuweka picha za wanangu.
 
Ivi ni kweli proud woman hawaoni chaku update isipokuwa status za mwanawe?

proud woman anatofautiana vipi na wale wanaoanika ma.titi na mapa.ja???

upepo ukigeuka huoni kwamba status hizo zinaweza kutumika kinyume kiasi cha kukuumiza kihisia?

Ishii...upepo upi tena...
Kuwa itatokea hao watoto wakawa si wangu tena...??? like serious...una compare wanangu na matiti...sidhani kama hata una mtoto wewe...

Acheni hizo...msipokuwa proud na familia zenu mtakuwa proud na nini?

Sikatai kuna watu wako very private...lakini wa hivyo hata FB account hawezi kuwa nayo...

Well uzuri mimi nimezungukwa na happy people...we all share what we have hasa familia zetu na kupongezana kwa roho nyeupeee..

Mfano juzi two of my friends walikuwa na wedding anniversaries (mmoja 14 years mwingine 10 years... wamejimwaga kwa mipicha ya molovedave kuonyesha ndoa zao bado ziko strong...na mimi sikuwa na hiyana nimetoa pongezi kiroho saaafi...

Sasa kama kuna mtu kaumia huyo hakuna cha kumsaidia...atafute tu sumu ya panya

Maana mlitaka wajifiche kisa kuna na divorce???? ikitokea imetokea lakini haikuzuii ku show off your happiness...enjoy it while it lasts...
 
Ishii...upepo upi tena...
Kuwa itatokea hao watoto wakawa si wangu tena...??? like serious...una compare wanangu na matiti...sidhani kama hata una mtoto wewe...

Acheni hizo...msipokuwa proud na familia zenu mtakuwa proud na nini?

Sikatai kuna watu wako very private...lakini wa hivyo hata FB account hawezi kuwa nayo...

Well uzuri mimi nimezungukwa na happy people...we all share what we have hasa familia zetu na kupongezana kwa roho nyeupeee..

Mfano juzi two of my friends walikuwa na wedding anniversaries (mmoja 14 years mwingine 10 years... wamejimwaga kwa mipicha ya molovedave kuonyesha ndoa zao bado ziko strong...na mimi sikuwa na hiyana nimetoa pongezi kiroho saaafi...

Sasa kama kuna mtu kaumia huyo hakuna cha kumsaidia...atafute tu sumu ya panya

Maana mlitaka wajifiche kisa kuna na divorce???? ikitokea imetokea lakini haikuzuii ku show off your happiness...enjoy it while it lasts...

Nikiuliza hivyo simanishi nachukia rafiki zangu wakitupia za watoto wao.

Upepo unaweza kugeuka kwa mengi tu sio talaka peke yake. cheki mfano:

kuharibika kwa mtoto huyo. hapo haimanishi wewe ememuharibu kwa kueka picha zake. let say kajiharibu kwa utkutu wake.

Usisahau kwamba ulipost picha zake for the sake of PROUD. Hapo proud yako imekua na mwisho gani?

Na sijakufananisha wewe wala mwanao na waanika pa.ja. if hukunielewa, nilitaka tu kuona tofauti ya proud kati ya hivyo. main concern ilikuwa ni kukuonesha proud hazina maana. hope you understand now. Arent you?
 
Nikiuliza hivyo simanishi nachukia rafiki zangu wakitupia za watoto wao.

Upepo unaweza kugeuka kwa mengi tu sio talaka peke yake. cheki mfano:

kuharibika kwa mtoto huyo. hapo haimanishi wewe ememuharibu kwa kueka picha zake. let say kajiharibu kwa utkutu wake.

Usisahau kwamba ulipost picha zake for the sake of PROUD. Hapo proud yako imekua na mwisho gani?
Khaaaa!!Kwahiyo watu wasiwe proud na watoto wao kwasababu tu wanaweza kuharibika?! Kwamba mtu asiwe proud kwasababu kuwa proud hamna maana?!

Kweli tunatofautiana. Utaachaje kuwa proud na kitu unachokipenda?! Mtoto wako mwenyewe uache kusikia fahari jinsi alivyo na afya, jinsi alivyo mjanja, jinsi alivyo na akili, mzuri n.k kisa tu anaweza akaja kuwa mbaya ukubwani?! Unajua hata kitu kinachochangia mtoto kukua vizuri kihisia, kisaikolojia na kiakili ni ufahari anaonyeshwa na wazazi wake?!

Ufahari unaouona online ndo ule ule wa nyumbani na mitaani, tofauti ni kwamba unakuwa shared na wengi. Au hujawahi kukuta mzazi akielezea mtoto wake alivyo hivi au vile, ama watu wakishare ndani ya nyumba vitu vya kijanja na vya akili alivyofanya mtoto wakati mmoja akiwa hayupo. Au hata kwa mawasiliano ya simu kwa waliopo mbali?! It's the same thing sema tu kwa upana zaidi.

Binafsi kama nyumba kubwa sioni ubaya wowote wa mtu kuwa proud na mtoto wake. Kama wewe una aibu na wakwako jipe all kind of excuses, hata nje usitoke nae ukiogopa kesho akianza kuvuta sigara utajificha wapi.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na ww mkuu kuweka picha za watoto kwenye mitandao lina athari kubwa sana kwenye makuzi ya mtoto na huwezi kujua itamuinfluence maisha yake ukubwani inaweza kupelekea cyberbullying,bullying abuse n.k humjui mbaya wako maana kila mtu ana matatizo yake!nina mfano mmoja mzuri umetokea marekani msichana mmoja alikuwa mjamzito alikuwa mpweke sana akatafuta rafiki kwenye mitandao wa kuongea nae yaani akitegemea atapata faraja akiongea na mtu kama yeye.Akakutana na jangili mmoja but since msichana alikuwa so innocent akakubali kuonana nae kwasababu huyo jangili alimuahidi kumpatia nguo za mtoto wake kumbe bana alikuwa anamtaka mtoto wa yule binti!kilichofatia ni balaa alishaplan amzalishe msichana kamkidnapp kampeleka kusikojulikana!uzuri wake yule jangili alikiwa na associate ambae alipata cold feet akaripoti polisi ndo yule psycopath wa watoto akakamatwa na alishafanya mpaka baby shower akijifanya mjamzito!huu mfano umetoka nje ya mada lkn ni mfano hai binaadamu tumepewa ubinafsi sana yaani si kila mtu mzuri wako wengine wanakuonea donge hata ukipendeza tu au ukinawiri roho yamuuma!Tuwe makini na tunayoyaanika kwa watu tusiowafaham na tufikirie na matokeo ya matendo yetu!
 
Nakubaliana na ww mkuu kuweka picha za watoto kwenye mitandao lina athari kubwa sana kwenye makuzi ya mtoto na huwezi kujua itamuinfluence maisha yake ukubwani inaweza kupelekea cyberbullying,bullying abuse n.k humjui mbaya wako maana kila mtu ana matatizo yake!nina mfano mmoja mzuri umetokea marekani msichana mmoja alikuwa mjamzito alikuwa mpweke sana akatafuta rafiki kwenye mitandao wa kuongea nae yaani akitegemea atapata faraja akiongea na mtu kama yeye.Akakutana na jangili mmoja but since msichana alikuwa so innocent akakubali kuonana nae kwasababu huyo jangili alimuahidi kumpatia nguo za mtoto wake kumbe bana alikuwa anamtaka mtoto wa yule binti!kilichofatia ni balaa alishaplan amzalishe msichana kamkidnapp kampeleka kusikojulikana!uzuri wake yule jangili alikiwa na associate ambae alipata cold feet akaripoti polisi ndo yule psycopath wa watoto akakamatwa na alishafanya mpaka baby shower akijifanya mjamzito!huu mfano umetoka nje ya mada lkn ni mfano hai binaadamu tumepewa ubinafsi sana yaani si kila mtu mzuri wako wengine wanakuonea donge hata ukipendeza tu au ukinawiri roho
yamuuma!Tuwe makini na tunayoyaanika kwa watu tusiowafaham na tufikirie na matokeo ya matendo yetu!
Sasa si hata kutembea barabarani watu wataogopa kutembea wakiwa na mimba ama wakiwa wamependeza?! Maana mambo kama hayo sio lazima yaanzie online. Hata kwenye daladala na mtaani mtu anaweza akakuonea wivu ama akamtamani mwanao akakufuatilia mpaka akafanya kibaya alichokusudia.

Embu fikiria, hao watoto unaosikia wepotea kila siku mara walipewa lift ama wameibiwa majumbani mwao au mtaani wakiwa wanacheza picha zao zipo mtandaoni?!
 
Angalau kuna mtu anafikra kama zangu na kaliandika hili kwa kadamnasi wapate kusoma...
 
Sasa si hata kutembea barabarani watu wataogopa kutembea wakiwa na mimba ama wakiwa wamependeza?! Maana mambo kama hayo sio lazima yaanzie online. Hata kwenye daladala na mtaani mtu anaweza akakuonea wivu ama akamtamani mwanao akakufuatilia mpaka akafanya kibaya alichokusudia.

Embu fikiria, hao watoto unaosikia wepotea kila siku mara walipewa lift ama wameibiwa majumbani mwao au mtaani wakiwa wanacheza picha zao zipo mtandaoni?!

Ndio si wote ambao wapo mitandaoni lakini mitandao ni kichochezi kizuri na mtandao unawapa access watu usowafaham kukuingilia privacy yako au hata kujua maisha yako na ndio maana kwa mantiki hio tunatakiwa tuitumie na akili zote kichwani kwasababu inawezekana ww unaona ni jambo la kawaida lakini wengine wanatumia mwanya huo kutenda yao!Binafsi nina mtoto and i am proud mother kwa watu ninaowafaham hao ndio wanaomata kwangu compliments za watu wengine mm hazininufaishi na chochote lakini all in all kila mtu anachagua jinsi ya kuishi maisha yake!!Tukumbuke kuna concenquences za kila kitu!
 
Back
Top Bottom