matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 128
Gfsonwin. Kwa kweli nakuunga mkono hapa....siku hizi wanaume wengi wanafirwa...tena wameoa na wanawake na watoto kabisa...sijui ndio mwisho wa dunia.....mara nyingi watu wakijaaliwa kuzaa mtoto wa kiume huwa wanafurahi sana lakini itafikia kipindi mtu akijaliwa mtoto wa kike ndio atafurahi....sipati picture mimi kama mzazi nitakua kwenye position gani kama nikisikia kijana wangu anafirwa....tulio wazazi wa watoto wa kiume hata wakike tunatakiwa kuwafatilia sana....maana wakike nao wamekua wasagaji...wakiume ndio hivyo tena wafirwaji.....na mimi naona yote hayo ni kukimbilia kupeleka watoto shule za boarding toka wakiwa wadogo..... kwa kweli dunia imekwishney.
hapo kwenye red nakuunga mkono mkuu sisi kama wazaz at least ile primary education mtoto asome dayschool ili iwe rahis kumkuza katika maadili mema..Kiukweli kuna watoto wengi sana wadogo wanalawitiana sasa hawa wakikua ndo wanakujakua mashoga walokubuhu...Eee Mungu Tuepushe na laana hiii