Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Yapo ya kuvumilika lakini kwa hili, Mhhhhh!
Mpe pole aisee!
 
Mungu atuepusha na mabalaa haya. Hii ni mara ya pili nasikia habari ya mke kushuhudia mumewe akitendwa 😕
 
hahahha kwanza huyo mke nae ----- kweli kweli...anakwambia wee jirani wake ili iweje? hafai kabisa

Mzabzab kuna mambo mengine magumu, usipoyasema unaweza kupanda kichaa. Halafu u know ni ngumu sana kuificha hii siri maana beki tatu tayari anaijua na mtu amelazwa hospital. So now mama wa pande zote mbili wanajua issue!
 
Kama yapi mdau hili swala ni zito jamani tusikiea tu kwa jirani!

mimi naamini ubongo wangu sio wakushikiwa na ninalimit kubwa kati ya moyo na ubongo wangu kushirikiana.na ninaiamini akili angu kwa asilimia 100 haiwezi nipa wrong and worse result ambayo ntakuja jutia.kwa haraka haraka
 
haa! Nilichokitegemea wakati naanza kusoma hii story ni tofauti kabisa na nilichokimalizia kukisoma
Hatare kweri
 
Hivi inakueje mwanaume anatoa gegedo lake kumpa mwenzie amgegede ,hii aina ya ugegedo ni ya kishetani ,yaani mwanaume anagegedeshwa na mwenzie sijui dunia tunaelekea wapi, mungu atuepushe na huu mtindo huu wa wanaume kugegedana.
 
Mzabzab kuna mambo mengine magumu, usipoyasema unaweza kupanda kichaa. Halafu u know ni ngumu sana kuificha hii siri maana beki tatu tayari anaijua na mtu amelazwa hospital. So now mama wa pande zote mbili wanajua issue!

haya bwana ndio yalishatokea hayo...ebu muulize jamaa alikuwa hamuombi mke ampige kidole cha tigo wakati mzee yupo ndani ya game la kkikubbwa?
 
Huyo ni mumewe na wamezaa wote, wakae pamoja walijadili, wasameheane,ndoa iendelee. Mume atubu amrudie Mungu
 
Dah! mwanaume mwenzetu ndio kashakumbwa na wadudu wanyevuaji wanaitwa Al Kudhuv. Hapo ni bomba tu litamrudishia ubikra wake.
 
Mungu amsaidie huyo dada apone kwanza, ndipo atakapokuja kufanya maamuzi mwenyewe yaliyo sahihi.
 
kuna mambo mengine rahisi kushauri lakini kwa hili mmmmhhh ngumu......
 
Mmmmmmmmmmh! Laana kum! Hapo Mtu usipoolewa UNASIMANGWAAAAAA!!!!!! Unaonekana huna bahati maskini! Kumbe kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi!!!!!!!!!

Mpe Pole huyo bi dada!!!!!!!
 
Ajaribu kukaa na wazazi wa pande zote pamoja na huyo mume bwabwa wajaribu kutafuta suluhu ya kudumu!Kama huyo bwabwa anauwezo wa kumuhudumia mkewe ipasavyo na mpaka wameweza kupata watoto wawili naamini rehab zinaweza kumrekebisha.
 
Duh! Kwa hiyo kumbe dada alikuwa na siri nzito moyoni.
 
Yaani Post hiii nilitaka kuisoma lakini nina haraka ngojea nipite tu, niwaachie wengine wasome kwani lazaima kusoma kila post? mie narudi zangu jukwaaa fimboz
 
Hivi inakueje mwanaume anatoa gegedo lake kumpa mwenzie amgegede ,hii aina ya ugegedo ni ya kishetani ,yaani mwanaume anagegedeshwa na mwenzie sijui dunia tunaelekea wapi, mungu atuepushe na huu mtindo huu wa wanaume kugegedana.

mzabzab unaona hii misamiati uliyoianzisha ya ugegedaji lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom