Hatari lakini salama :je ni wapi?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
Mahenge Trip 015.jpg Kwa wale ma-Vasco Dagama kama mimi, nilipanda hili feri roho juu(linachota maji badala ya ku-glide)
Wapi hapa?
 
hapo ni ziwa Jipe....., mpakani mwa kenya na tanzania...... kule KILIMANJARO
 
mto kilombero huu , hapa kucheka ndani ya kivuko kitazama , nyote maco mbelee, na kelee marufuku
 
Ukiisave picha yako inaonyesha kuwa ni Mahenge..... ungeedit hata jina tusijue...
 
mto kilombero huu , hapa kucheka ndani ya kivuko kitazama , nyote maco mbelee, na kelee marufuku
Sawa kabisa mkuu, hapo ni mto Kilombero, na hicho kivuko ni kile cha zamani.
Kilikuwa hatari sana na kama bado kipo sipandi.
 
Back
Top Bottom