HATARI HII: UDOM Walitaka kulipua Chuo- Prof. Kikula | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HATARI HII: UDOM Walitaka kulipua Chuo- Prof. Kikula

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edson Zephania, Jun 27, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jana ktk taarifa ya habari ya radio mwangaza ya saa 1 usiku nilimsikia Prof. Kikula akiwaambia wakuu wa wilaya waliokuwa wametembelea chuo hicho kuwa wanasiasa wasimshinikize kuwarudisha wanafunzi hao kwani anazo taarifa kuwa walitengeneza mabomu ya petroli ili kupambana na Polisi endapo wangekwenda kuwatawanya kwa nguvu hivyo kungepelekea chuo kulipuliwa na kuwaka moto.
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  mh! Ana uhakika au ndo yale ya intelijensia hivi hawa wasomi wetu vipi? Hawajui kuwa ''no research no right to speak''?
   
 3. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kashalewa maji ya bendera ya kijani huyo anadhalilisha hata usomi wake jamani mh hiiinji si mcheso
   
 4. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  B.w.e.g.e tu
   
 5. m

  mzalendo2 Senior Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli waache siasa wawerejeshe watoto shule. Maana baada yy kushughulikia taaluma anaanza kujiingiza kwenye mambo ya siasa

  kuwa strong kikula usilete propaganda za kijinga
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Dah!!kama ni kweli,hyo ingekua hatar sana...
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na Prof Kikula, hizo habari ata mimi nimezisikia kutoka kwa mwanafunzi mmoja ambae kasimamishwa chuo! Inasemekana ni maagizo kutoka kwa Lema
   
 8. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Siku zote alikua wapi kusema haya!huu ni uongo kutoka kwa mtu mwenye heshima kwa jamii.acha siasa tekeleza majukumu yako.warudishe masela chuo wakamue kitabu kwani kitaa ni noma.
   
 9. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,212
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Kuna waliofukuzwa nikiwa mwaka wa kwanza UDSM na taifa likatangaziwa kwamba tuligoma kwenda kufanya kazi vijijini. Hakuna hata mmoja wetu alikuwa amepangiwa kazi vijijini. Hawa CCM wana kawaida ya kutangaza uongo.

  Zaidi ya hayo, lengo la kumtupia polisi chupa ya petroli ili asikuumize au kukua (mana hawa polisi wa Tanzania hawakawii kuua) sio LENGO la KULIPUA chuo. Sensationalism will not do!
   
 10. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jee? wamekamatwa na hayo mabom au ndousani wakutakakutuaminisha kujipatia kibali chakuwafukuza shure wanafunzi wa sio wataka nakubaki na bendera fata upepo
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  eeeh! duh!
   
 12. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Sio ya Riz1 maana na yeye anatuma vijana watake kumtoa m/kiti wtu wa uvccm mkoa wa Arusha
   
 13. Acha Dhambi

  Acha Dhambi Senior Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ndugu acha unafiki hakukuwa na mabomu hacheni kutuchafua wanaUDOM. Kikula anatafuta namna ya kujisafisha na kujitetea kwa uma siku zote ukweli utabaki ukweli
   
 14. h

  hans79 JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  acha utoto,kama walitaka kufanya hivyo kwa nn wasikamatwe?kila mtawala tz anafanya kazi kwa hisia pasipo elimu zao hilo ndo tatizo kubwa sana,pia kwa kupenda umbeya wanaongoza.wajue nchi itawashinda kwa undumilakuwil wao.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wewe na Prof. Kikula nani mtoto? Yaani mtu kupata taarifa kuwa wanafunzi walitaka kulipua chuo ni utoto? Acha upofu wa ufahamu
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni nchi ya ajabu kweli; mtu akiteuliwa na CCM kushika wadhifa wowote ule ni lazima tuwe makini naye sana kwa sababu hata kama ana digrii ngapi za uzamili, atazifungia uvunguni ili amtumikie bwana mkubwa wa CCM.
   
 17. h

  hans79 JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  rudi shule kasome maana ya utoto na upofu mbweha we,kaul bila hatua ya vyombo vya usalama n unafik.achen ushoga fanyen kaz
   
 18. R

  Rafikikabisa JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Itatakiwa RPC atoe maelezo kwa hili. Hapa kuna mtu kashindwa kazi. itabidi adhibitishe.
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa nyoka ni nyoka. Nini kingine umesikia?
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kwenye red
  Nashauri pindi wanafunzi wakirudishwa nyumbani kwa maana ya kufunga chuo, walimu na viongozi wa chuo nao wapelekwe likizo isiyo na malipo hadi chuo kitakapofunguliwa. Kama wapo kufundisha na wanafunzi hawapo kwa nini waendelee kulipwa?
   
Loading...