GODLOVEME
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,644
- 498
Zitto ataendelea kuwatafuna mpaka mwisho wenu, watu hawapati usingizi kwasababu yake. Mtaweweseka sana na Zitto. Mtakumbuka tu kuwa "zambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, ukisha anza hauachi". Jamani muacheni ZItto fanyeni mambo yenu si mlisema hana athari mbona sasa hamlali?
nani alali, sisi yeye
yeye ndiye anashinda kwenye vikao vya siri na wasaliti wenzake
yeye ndio anashinda kwa watokomeza panya ........................................au?