Hatari: CCM yaunda KIKUNDI cha kuvuruga UKAWA

Ok, sawa Zitto sio mjadala, sasa mbona wachangiaji wengi wanamjadili zito badala ya mada husika? Na inafahamika fika kuwa Zitto sasa hivi ni hasimu wenu kwahiyo mnavyo muandika kwa namana yoyoyte ile lazima watu waliangalie andiko hilo kwa jicho la pili.
Kama vipi mpotezeeni au mkamjadili kwenye vikao vyenu but ukija mtu kama wewe kumzunguzia Zitto inaonekana ni Propaganda kwasababu ni hasimu wenu.
 
Daraja ni muungano wa wanafiki. Zitto mnafiki na huyo Sarungi wake, wapuuzi ni wa kuwapuuza tu na hicho kiumoja chap
 
Ok, sawa Zitto sio mjadala, sasa mbona wachangiaji wengi wanamjadili zito badala ya mada husika? Na inafahamika fika kuwa Zitto sasa hivi ni hasimu wenu kwahiyo mnavyo muandika kwa namana yoyoyte ile lazima watu waliangalie andiko hilo kwa jicho la pili.
Kama vipi mpotezeeni au mkamjadili kwenye vikao vyenu but ukija mtu kama wewe kumzunguzia Zitto inaonekana ni Propaganda kwasababu ni hasimu wenu.

Wewe mpuuzi kweli, kwahiyo kama watu wanamjadili na wewe unaungana nao tu bila kutafakari logic ya hoja??
 
CCM kila c ku wanatafuta mbinu mpya ya kuhakikisha udicteta wao unafanikiwa loh!Mwenyeezi Mungu asiwafanikishe wanafiki,watu wenye double faces hatari sana jamani.
 
We kati ya majina yote umeliona jina la zitto. Anakugonga ama?

Dah! kwa kutukama hamjambo, mtazidi kupotea kisiasa kwa matusi yenu. Jengeni hoja muweze kuwashawisha watu sio kutukana matusi. Inawezekana ikawa unalipwa kwa kutukana kwako. Haya kazi njema mkuu.
 
Mbona unapotosha, hapa ni mahali pa siasa?
 
Back
Top Bottom