Hataki tuwe wapenzi, anataka urafiki

Hataki tuwe wapenzi, anataka urafiki

Nimesoma comments zote sijaacha hata robo yake,
Nawashukru sana mliotoa mawazo japo uzi siyo wa kwangu .
 
Wakuu za saa hizi.

Binafsi na marafiki zangu wengi wamekuwa wakinipa kesi kama hizi, kwamba unakuta mwamba kamfukuzia demu, then anajibiwa na demu kuwa hataki mahusiano bali urafiki nae.

Sasa wakuu hebu tupeni mbinu ma legend , kwenye situation kama hii mnapinduaje meza kibabe.. [emoji41], ili finally umiliki mtoto au ule mtoto kimasihara.

Karibuni..
Tafuta filamu inayoitwa LOVE DONT COST A THING
 
Usikubali kuwekwa kweny friendzone, lets just be friends ni rejection moja kwa moja wala sio Genuine friendship offer

Ww kama Mwanaume kamili response yako ni kujiweka kando kweny uhusiano wa aina hiyo,kwanini? Hii ita kusave sana kama Mwanaume incase demu ana kutest tu au anakukataa kweli,
Kama Mwanaume utakua na confidence ya ku walk away kweny situation hiyo its proves your self as Decisive au Mwanaume mwenye maamuzi kwa kiswahili,na hauko tayari kua played na friend zone.
Bidada atabaki anawaza na kusema kweli we ni kidume haswa, probably utakua umekutana na wanawake wengine zaid yake.

Hivyo basi utakua umeweza kutoa attention kwake,skia, wanawake wanapenda attention sana,sasa ukiweza kutoa attention kwake basi as Man utakua umeonyesha umwamba na utakua umemuachia yeye mwenyew jukumu la Re connection on her.

Hata kama ikitokea hakukupenda kweli utakua basi umeondoka kwake kwa miguu yako sio kwa magoti yako

Playing friend with her ni kupoteza mda wako tu wakufanya mambo ya msingi,hivyo usiwe na ile mentality ya kusema kuna siku atagombana na bwana wake atanipa Game,no siku akigombana na bwana wake,akutafuta mwenyew kipind ulisha sepaga.

Usikubali unakua rafiki ,siku akipata boyfriend anaemuona wa maana anaku dump [emoji706] tu.

Be a Man.
 
Unafikiri Kura kimasihala ni rahisi hivoo...[emoji1783][emoji1783][emoji1783]unaweza kununua banana splinter mlimani city?? Kununua kuku WA KFC pia unaweza au unatunisha jando Tu kama kiwembe cha uzazi
Asilimia kubwa ya member wa jf huwa wanaamini waleta mada wote wanaish daslam
 
Acha kudate na single mothers boss, wana loss sana hao
Ahahaha ni kwel usemacho boss ila am not dating them..we just hook ile one time af kila mtu na 50 zake ila huyu sasa ndio anajifanya haelewi dizain kam anataka dating somthng i cant ndio nikaamua kmpotezea
 
Asilimia kubwa ya member wa jf huwa wanaamini waleta mada wote wanaish daslam
SASA Hilo ndio tatizo lenu......jamii forum ni Kwa daresalam na vitongoji vyake......uko mikoani mnapoteza muda Tu............mtuache jamani......mm
 
Usikubali kuwekwa kweny friendzone, lets just be friends ni rejection moja kwa moja wala sio Genuine friendship offer

Ww kama Mwanaume kamili response yako ni kujiweka kando kweny uhusiano wa aina hiyo,kwanini? Hii ita kusave sana kama Mwanaume incase demu ana kutest tu au anakukataa kweli,
Kama Mwanaume utakua na confidence ya ku walk away kweny situation hiyo its proves your self as Decisive au Mwanaume mwenye maamuzi kwa kiswahili,na hauko tayari kua played na friend zone.
Bidada atabaki anawaza na kusema kweli we ni kidume haswa, probably utakua umekutana na wanawake wengine zaid yake.

Hivyo basi utakua umeweza kutoa attention kwake,skia, wanawake wanapenda attention sana,sasa ukiweza kutoa attention kwake basi as Man utakua umeonyesha umwamba na utakua umemuachia yeye mwenyew jukumu la Re connection on her.

Hata kama ikitokea hakukupenda kweli utakua basi umeondoka kwake kwa miguu yako sio kwa magoti yako

Playing friend with her ni kupoteza mda wako tu wakufanya mambo ya msingi,hivyo usiwe na ile mentality ya kusema kuna siku atagombana na bwana wake atanipa Game,no siku akigombana na bwana wake,akutafuta mwenyew kipind ulisha sepaga.

Usikubali unakua rafiki ,siku akipata boyfriend anaemuona wa maana anaku dump [emoji706] tu.

Be a Man.
Binafsi nashauri kama ni mwanamke unamipango nae ya kudumu kama kumfanya mke ni kheri uanzie kwenye huo urafiki lakini hakikisha hakutumii.. kipesa n.k itakufanya ugundue mambo mengi kuhusu yeye wakati huo wewe gonga pusy nyingine huko nnje za kutosha yani usimuoneshe unyonge.. ikitokea siku umemla sasa itakuwa kazi ni kwake kuamua kutokana na show utakayo toa hiyo siku unamla
 
Hapana mkuu,Kuna wanawanake wazuri wakuoa zaidi ya huyo,kwaiyo ukianza kupoteza time nae na kuna chance atakutumia tu,sindo urafiki wenyewe, kesho atampa hiyo nafasi ya ndoa Bwana anaeona yeye anamfaa,pengine sio ww kabisa.

Sasa wewe kujiokoa ,ondoka tu,jukumu hilo litakua kwake kukutafuta.

As a Man lazima uwe na options.
 
Kuna kashenzi kamoja kaliwahi kuwa na itikadi hizo, kuliwa hataki ila anapenda favors 😂😂😂 sijui huwa wanajikuta akina nani!
Tunajikuta Queen Elizabeth, kwani unatakaje? 😆😆
 
Hii style ya kujizima data huwa ina make sense kama ushamsomesha mtoto kuwa uko deep nae. Kisha unampa treats kibao af siku ya siku unamkatia umeme ghafla.

Lazma atajiskia hovyo tu then unatambaa na gap. Akitaka muende sawa unamla kwanza wengi hukubali kuliwa tu yaishe [emoji23][emoji23][emoji23] sababu company yako ni muhimu kwake
Nimeshinda mapambano mengi sana kwa hii njia
 
Hilo jambo la kuomba ushauri?
Sijui vijana sikuhizi ndo mana mnapakatwa tu ndo kitu rahisi kwenu
 
Ukiona mwanamke anakuweka sana kwenye friendship zone ujue tayari ammekukataa huyo.(technically)

Na hakuna kazi ngumu kama kumtongoza mwanamke wa aina hiyo.

Infact, kabla hujampata mwanamke na kuwa wako hatakiwi kukuzoea sana!

Ndio maana, anaweza akakuzoea na ukamtongoza akakataa, akaibuka jamaa akamtongoza na kumbeba ukabaki dolo

Una option kubwa tatu[emoji116]

1. Unaweza kukubali kuwa rafiki yake.

2. Unaweza ukaendelea kukanyaga mafuta mpaka atakapoelewa au utakapochoka.

3. Unaweza kumpotezea.
Kwwli kabisa demu mkizoeana sana kumla ni ngumu kidgo ila ni rahisi sana kula mzigo mwanzoni ikiwezekana hata siku mliyoonana.
 
Kwahiyo ndio kusema mmegoma kuwa marafiki zetu au!! Hivi hii gender ina matatizo gani🙆🙆🙆
Kuna mdada alinishobokea, mm nikaona acha niwe rafiki yake, sikumtongoza wala nn, haijapata miezi mitatu, sahiv amenipotezea, kosa langu silijui Cillah
 
Ni rahisi sana kumkula akiwa rafiki na atakuja kukupenda sana ila inabidi uonenyeshe kumjali sana, toka nae out, msikilize ngonjera zake zote mwisho atakuja kuwa mpnz wako na atakupenda sana.
 
Hapana mkuu,Kuna wanawanake wazuri wakuoa zaidi ya huyo,kwaiyo ukianza kupoteza time nae na kuna chance atakutumia tu,sindo urafiki wenyewe, kesho atampa hiyo nafasi ya ndoa Bwana anaeona yeye anamfaa,pengine sio ww kabisa.

Sasa wewe kujiokoa ,ondoka tu,jukumu hilo litakua kwake kukutafuta.

As a Man lazima uwe na options.
Mwanaume hawezi kukosa mke.. binafsi yupo mwanamke alisema tuwe marafiki sijui ana mtu wake na nin.. sasa kwenye huo urafiki nikawa naona mapungufu mengi ya huyo mtu wake mimi nikawa nacover yale mapungufu kiurafiki nikamzoesha then siku nikaja kutongoza tena na kumuomba pussy [emoji23] [emoji23]

Kilichotokea akaniblock eti ohh.. sijui umeniona Malaya na nini nikamuambia hapana

Zikapita 3 weeks akanitafuta mwenyewe.. sahivi hamuongelei tena huyo mtu wake yani vyeo vyote nishapewa mimi.. so ukipewa hiyo nafasi ya kuwa rafiki itumie vizuri kama ni manzi umemuelewa yani
images%20(16).jpg

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom