Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 130
- 252
- Thread starter
- #41
[emoji2][emoji2] doohNdio shoss akee!! Kifrend tu Hakuna kugandanaaa! Au wee unasemajeeeee ???
[emoji2][emoji2] doohNdio shoss akee!! Kifrend tu Hakuna kugandanaaa! Au wee unasemajeeeee ???
Huo huo nautaka [emoji2][emoji2]Hilo nalo la kuuliza kweli? Ushauri wangu wa kikatili kidogo
Umeelewa lkn au umejibu tu [emoji1787]Kwanza tambua kukimbilia kumvua mwanamke kabla hajakupokea moyoni nguo ni kumbakana tu.
Haijarishi mazingira
Vijana nyie nyie mnalalamika wanawake kupenda fedha sana yote hayo mnayataka wenyewe sasa kama unataka tunda kulila si utafute makahaba tu!! Ambao hawatakuuliza maswali ya sensa ni plug and play unalipa unasepa
Mwanamke au mwanaume mwenye akili timamu kumpata inachukua mchakato kiukweli sio kitu cha over day au over night.
We jamaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe wezangu humu jf mnawatomber hawa warembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipeni siri basi maana mie naambulia vibuti tuu huko pm
Kweli bwana itakuwa kuna sehemu ninakosea step. Ni kupigwa vibuti tuu huku pm.We jamaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kudate na single mothers boss, wana loss sana haoKuna mmoja hapa single mama nam zoom tu.. rafik rafik rafik !! Mi namchora tu ila nilishampa sign zote kuwa nataka mbunye...sasa nimeamua kumpotezea tu ila kwa mbal anaanza kurud
Hakika umenena jirani, ndani ya urafiki analiwa hivyo hivyo...Unamkula ndani ya urafiki ivoivo...hainaga kabaya
Unamkula afu unatulia kama so weweHakika umenena jirani, ndani ya urafiki analiwa hivyo hivyo...
Sasa je jirani, sii hataki mapenzi unamla hivyo hivyo kirafiki rafiki...Unamkula afu unatulia kama so wewe
Afu inakuwa so good,atajileta mwenyeweSasa je jirani, sii hataki mapenzi unamla hivyo hivyo kirafiki rafiki...
Tunataka mbususu zenu kama nyie mnavyotaka hela zetuKwahiyo ndio kusema mmegoma kuwa marafiki zetu au!! Hivi hii gender ina matatizo gani🙆🙆🙆
Nitoe baba mimi maharage ya Mbeya maji mara moja imooo, hautasumbuka kabisa😍 utamu tunapata wote ujue😂Aisee kumbe hizi ndio techniques za kuwala hawa wadada.
Ngoja nikamtoe out financial services
Sawa ngoja basi nijipange twende coco beach tokale mihogoNitoe baba mimi maharage ya Mbeya maji mara moja imooo, hautasumbuka kabisa😍 utamu tunapata wote ujue😂
Kwahiyo suala la urafiki mmekataa?Tunataka mbususu zenu kama nyie mnavyotaka hela zetu
Hatutaki urafikiKwahiyo suala la urafiki mmekataa?
Mihogo na maji tu inanitosha sina gharama 😀Sawa ngoja basi nijipange twende coco beach tokale mihogo