Ndio hapo unashindwa kuelewana unakuta kwenye huo urafiki anaomba hela
Ndio hapo unashindwa kuelewana unakuta kwenye huo urafiki anaomba hela
Inategemea na objective ya jamaa...kama je anatka kula mbususu tuuNi rahisi sana kumkula akiwa rafiki na atakuja kukupenda sana ila inabidi uonenyeshe kumjali sana, toka nae out, msikilize ngonjera zake zote mwisho atakuja kuwa mpnz wako na atakupenda sana.
Tatizo unawasifia Sana,Kumbe wezangu humu jf mnawatomber hawa warembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipeni siri basi maana mie naambulia vibuti tuu huko pm
Mzeya kumbe nawe u awakula kimya kimya eehTatizo unawasifia Sana,
Ukiwapa Sana attention umewakosa
Tatizo lenu mnatumia gepu la urafiki kujinufaidha kiuchumiKwahiyo ndio kusema mmegoma kuwa marafiki zetu au!! Hivi hii gender ina matatizo gani[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji38]Mzeya kumbe nawe u awakula kimya kimya eeh
Nakukubali sana katika hili comrade!Huyo keshakuona boya, UNATUMIKA
Anataka akutumie kumaliza shida zake kiuchumi kwa kisingizio Cha urafiki, uku ukiwa na matumaini mtafikia level ya mapenzi.
Na kwanini hilo liwe jambo baya? Isn't that what friends are for among other things?Tatizo lenu mnatumia gepu la urafiki kujinufaidha kiuchumi