GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Huyu dada amenishangaza sana.nikajua kweli duniani kuna maswahibu,visa na mikasa. Ukistaajabu ya musa utaona ya ....
Huyu dada namfaham toka anasoma chuo.ni aina ya wale wanawake wanapenda sana show off.sana.anaamini yeye anapaswa kuwa na vitu vizuri tu.nlishawah kumdate baadaye tukaachana. Ameolewa sasa ni mwaka wa pili. Hana mtoto.
Binafsi huwa sipend kuuliza kwa nini mtu hajaamua kuzaa au n.k hiyo hainihusu.jana alinitafuta we met smwhere tukangea mengi na mwishon akanambia kwa uchungu kuwa ana hamu sana na mtoto.nikamjibu tu sasa si aamue kupata.akajibu issue si kuwa hawez pata mimba. Ila hataka azae na mumewe.nikashtuka kidogo.
Anasema mumewe ni kweli anampenda sana na ana pesa ile mbaya. Sema hataki kuzaa naye sababu hana sura nzuri na waswas wake anaweza akazaa mtoto amefanana na babaye so hatokuwa cute.nlistaajabishwa sana na maneno haya.
Nikawaza ni kweli huyu dada hakuwah hata kupost picha zake na mumewe za harus.hajawah hata kumwonesha anywhere.ni mwanamke ambaye hayupo comfortable na mumewe.jioni nikaingia facebook kuangalia picha.hakuna sehem ambayo amemtaja mumewe wala kumweka.insta nako pia.nikaanza kukumbuka ni mwanamke anayependa sana show off na perfect stuff.so haoni vizur kumweka mumewe wazi coz the man isnt handsome.ila ana pesa sana na anampenda mkewe.
So mke ameshatoa mimba tatu kwa maneno yake mwenyewe.na sasa amenitafuta... Anataka ampate mwanaume wa kumpatia mimba ila baada ya hapo wasijuane tena.anaongea kirahisi sana but she is serious.i just told her aint me baby.aint me.
Wakati anaolewa naye alizingatia kigezo cha pesa na ni kweli wanaenda sana kula bata dubai na some places but... Demu hana furaha sana na jamaa yake.na anasema hata sex anafanya naye basi tu... Sometime inabidi avute hisia ya..... Nlisikitika sana.i wish na sisi wanaume tuwe tunajichunguza.