Hataki Kuzaa na Mumewe sababu ana Sura Mbaya, anataka ambambikie kwa kuzaa na Handsome Boy


GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
5,774
Likes
9,850
Points
280
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
5,774 9,850 280
Huyu dada amenishangaza sana.nikajua kweli duniani kuna maswahibu,visa na mikasa. Ukistaajabu ya musa utaona ya ....

Huyu dada namfaham toka anasoma chuo.ni aina ya wale wanawake wanapenda sana show off.sana.anaamini yeye anapaswa kuwa na vitu vizuri tu.nlishawah kumdate baadaye tukaachana. Ameolewa sasa ni mwaka wa pili. Hana mtoto.

Binafsi huwa sipend kuuliza kwa nini mtu hajaamua kuzaa au n.k hiyo hainihusu.jana alinitafuta we met smwhere tukangea mengi na mwishon akanambia kwa uchungu kuwa ana hamu sana na mtoto.nikamjibu tu sasa si aamue kupata.akajibu issue si kuwa hawez pata mimba. Ila hataka azae na mumewe.nikashtuka kidogo.

Anasema mumewe ni kweli anampenda sana na ana pesa ile mbaya. Sema hataki kuzaa naye sababu hana sura nzuri na waswas wake anaweza akazaa mtoto amefanana na babaye so hatokuwa cute.nlistaajabishwa sana na maneno haya.

Nikawaza ni kweli huyu dada hakuwah hata kupost picha zake na mumewe za harus.hajawah hata kumwonesha anywhere.ni mwanamke ambaye hayupo comfortable na mumewe.jioni nikaingia facebook kuangalia picha.hakuna sehem ambayo amemtaja mumewe wala kumweka.insta nako pia.nikaanza kukumbuka ni mwanamke anayependa sana show off na perfect stuff.so haoni vizur kumweka mumewe wazi coz the man isnt handsome.ila ana pesa sana na anampenda mkewe.

So mke ameshatoa mimba tatu kwa maneno yake mwenyewe.na sasa amenitafuta... Anataka ampate mwanaume wa kumpatia mimba ila baada ya hapo wasijuane tena.anaongea kirahisi sana but she is serious.i just told her aint me baby.aint me.

Wakati anaolewa naye alizingatia kigezo cha pesa na ni kweli wanaenda sana kula bata dubai na some places but... Demu hana furaha sana na jamaa yake.na anasema hata sex anafanya naye basi tu... Sometime inabidi avute hisia ya..... Nlisikitika sana.i wish na sisi wanaume tuwe tunajichunguza.
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
3,448
Likes
6,376
Points
280
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
3,448 6,376 280
Aje pm, anataka mimba ngapi? Zisiwe chini ya tatu.
 
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
12,415
Likes
20,327
Points
280
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
12,415 20,327 280
Yule niliyemdunga mimba kanijulisha bado kidooogo atajifungua watoto mapacha. Kwa swaga za dizaini hiyohiyo. Ku.ma ikakatiza mbele yangu kihasarahasara kama hivo naachaje kudinyilia ub.oo!?
 
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
2,368
Likes
2,623
Points
280
Age
38
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
2,368 2,623 280
kama ana dau la kutosha aende kwa yule mwanamitindo anajiita calisah, yule anauza mbegu
 
Mirlz B Matthew

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Messages
951
Likes
970
Points
180
Mirlz B Matthew

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2011
951 970 180
senge baridi uyo alaaniwe yeye na kizazi chake.......duh wanawake hawaishagi sababu ukikosa pesa watakukataa ukiwa na pesa pia mizinguo....!!!
 
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
25,498
Likes
65,986
Points
280
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
25,498 65,986 280
Mmh. Nadhani akili yake haifanyi kazi vizuri kwa sababu sidhani kama kuna mtu mbaya dunia hii.

Sasa akishazaa mtoto asiyefanana na mume wala yeye mwenyewe hajui ndio itakuwa ticket ya kumkosa huyo wa sura mbaya mwenye mahela yake. Pole yake huyo mwanamke kwa kushindwa kujiongeza.
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
5,586
Likes
8,874
Points
280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
5,586 8,874 280
Mmh. Nadhani akili yake haifanyi kazi vizuri kwa sababu sidhani kama kuna mtu mbaya dunia hii.

Sasa huyo akishazaa mtoti asiyefanana na mume wala yeye mwenyewe hajui ndio itakuwa ticket ya kumkosa huyo wa sura mbaya mwenye mahela yake. Pole yake huyo mwanamke.
Huyo hampendi tu huyo mwanaume, alitaka awe na sura nzuri kama ya kike? Hajitambui na sijui kwanini alikubali kuingia kwenye ndoa
 
A

abdukarim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Messages
488
Likes
592
Points
180
A

abdukarim

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2017
488 592 180
Kweli nimeamini dunia ni kubwa na kila binadam aliumbwa kivyake
 
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
25,498
Likes
65,986
Points
280
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
25,498 65,986 280
Huyo hampendi tu huyo mwanaume, alitaka awe na sura nzuri kama ya kike? Hajitambui na sijui kwanini alikubali kuingia kwenye ndoa
Ndio hapo sasa. Ila kwa anachotaka kukifanya yuko mbioni kumkosa huyo wa sura mbaya. Na atajuta aisee.
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
5,586
Likes
8,874
Points
280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
5,586 8,874 280
Ndio hapo sasa. Ila kwa anachotaka kukifanya yuko mbioni kumkosa huyo wa sura mbaya. Na atajuta aisee.
Na akili itakapomkaa sawa akagundua kua amefanya makosa tayari atakua amechelewa
 
magaye

magaye

Senior Member
Joined
Nov 11, 2015
Messages
149
Likes
136
Points
60
magaye

magaye

Senior Member
Joined Nov 11, 2015
149 136 60
Duuh!! sasa kama ndo hivyo mimi na hili li-sura langu ....

Ntapata mke kweli!!!
 
immu bin masoud

immu bin masoud

Senior Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
141
Likes
140
Points
60
immu bin masoud

immu bin masoud

Senior Member
Joined Jun 4, 2017
141 140 60
kma ulioa sababu unapesa unategemea nin??? mambo mengine hayana haja yamungu kuingilia aache tumalizane wenyewe
 
T

to yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
2,634
Likes
2,123
Points
280
Age
30
T

to yeye

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
2,634 2,123 280
Anakosea kucheat ,amwache tu mume huyo aolewe kwingine
 

Forum statistics

Threads 1,238,710
Members 476,123
Posts 29,327,404