Hataki Kuzaa na Mumewe sababu ana Sura Mbaya, anataka ambambikie kwa kuzaa na Handsome Boy

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Huyu dada amenishangaza sana.nikajua kweli duniani kuna maswahibu,visa na mikasa. Ukistaajabu ya musa utaona ya ....

Huyu dada namfaham toka anasoma chuo.ni aina ya wale wanawake wanapenda sana show off.sana.anaamini yeye anapaswa kuwa na vitu vizuri tu.nlishawah kumdate baadaye tukaachana. Ameolewa sasa ni mwaka wa pili. Hana mtoto.

Binafsi huwa sipend kuuliza kwa nini mtu hajaamua kuzaa au n.k hiyo hainihusu.jana alinitafuta we met smwhere tukangea mengi na mwishon akanambia kwa uchungu kuwa ana hamu sana na mtoto.nikamjibu tu sasa si aamue kupata.akajibu issue si kuwa hawez pata mimba. Ila hataka azae na mumewe.nikashtuka kidogo.

Anasema mumewe ni kweli anampenda sana na ana pesa ile mbaya. Sema hataki kuzaa naye sababu hana sura nzuri na waswas wake anaweza akazaa mtoto amefanana na babaye so hatokuwa cute.nlistaajabishwa sana na maneno haya.

Nikawaza ni kweli huyu dada hakuwah hata kupost picha zake na mumewe za harus.hajawah hata kumwonesha anywhere.ni mwanamke ambaye hayupo comfortable na mumewe.jioni nikaingia facebook kuangalia picha.hakuna sehem ambayo amemtaja mumewe wala kumweka.insta nako pia.nikaanza kukumbuka ni mwanamke anayependa sana show off na perfect stuff.so haoni vizur kumweka mumewe wazi coz the man isnt handsome.ila ana pesa sana na anampenda mkewe.

So mke ameshatoa mimba tatu kwa maneno yake mwenyewe.na sasa amenitafuta... Anataka ampate mwanaume wa kumpatia mimba ila baada ya hapo wasijuane tena.anaongea kirahisi sana but she is serious.i just told her aint me baby.aint me.

Wakati anaolewa naye alizingatia kigezo cha pesa na ni kweli wanaenda sana kula bata dubai na some places but... Demu hana furaha sana na jamaa yake.na anasema hata sex anafanya naye basi tu... Sometime inabidi avute hisia ya..... Nlisikitika sana.i wish na sisi wanaume tuwe tunajichunguza.
 
kama ana dau la kutosha aende kwa yule mwanamitindo anajiita calisah, yule anauza mbegu
 
senge baridi uyo alaaniwe yeye na kizazi chake.......duh wanawake hawaishagi sababu ukikosa pesa watakukataa ukiwa na pesa pia mizinguo....!!!
 
Mmh. Nadhani akili yake haifanyi kazi vizuri kwa sababu sidhani kama kuna mtu mbaya dunia hii.

Sasa akishazaa mtoto asiyefanana na mume wala yeye mwenyewe hajui ndio itakuwa ticket ya kumkosa huyo wa sura mbaya mwenye mahela yake. Pole yake huyo mwanamke kwa kushindwa kujiongeza.
 
Mmh. Nadhani akili yake haifanyi kazi vizuri kwa sababu sidhani kama kuna mtu mbaya dunia hii.

Sasa huyo akishazaa mtoti asiyefanana na mume wala yeye mwenyewe hajui ndio itakuwa ticket ya kumkosa huyo wa sura mbaya mwenye mahela yake. Pole yake huyo mwanamke.
Huyo hampendi tu huyo mwanaume, alitaka awe na sura nzuri kama ya kike? Hajitambui na sijui kwanini alikubali kuingia kwenye ndoa
 
kma ulioa sababu unapesa unategemea nin??? mambo mengine hayana haja yamungu kuingilia aache tumalizane wenyewe
 
Wanawake "kabila" hiyo ndiyo waliojaa ulimwengu wa sasa. Wanapenda pesa rahisi, hawapendi mtu na hawapendi kujenga mazingira ya kutafuta pesa.
Hivi huyo mwanamke ana umri gani kuendelea na foolish age kichwani mwake muda wote?
Kweli M/ Mungu katunyima sana busara na miujanja.
Inawezekanaje mwanamke mchunaji uweze kuishi naye kinyumba mwaka mzima usigundue hila zake!
Authentication za mtu anayekupenda kwa dhati ama kinyume chake mbona zipo wazi?.
Halafu hilo malaya halijasoma kuelimika?
Sura cute ya mtoto lazima ikopi na kupest toka kwa wazazi wake?
Kama anakutaka mbegu zako, tafuta wakili msainishe mkataba.
 
Back
Top Bottom