Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,087
Mtu anaweza kuchukulia maskhara lakini ni tabia iliyoenea mno kwa wengi wakubwa kwa wadogo ,wanaume kwa wanawake waheshimiwa matajiri na maskini , watu wa nyaza zote katika jamii ambapo hata members wa JF wote wameathirika na haka kaugonjwa
Kaugonjwa kenyewe ni kupenda kuhifadhi video na picha za ngono kwenye simu zetu ,wengine ni wateja wakubwa sana wa cd zenye mambo hayo
simu nyingi sana zina password hasa kwenye gallery kwa sababu ya kuficha huo uchafu na kwakweli watu wameathirika mno na hii tabia
watu wanamaliza vifurushi kwa ajili ya kudownload porn videos na picha.
Naona kuna wonderful sensation mtu anapata aangaliapo hizi picha lakini kwangu mimi ji sawa na kupiga tu chabo. raha wanapata wengine denda linakutoka wewe