Hata wewe una haka kaugonjwa

Hata wewe una haka kaugonjwa

si ndo hapo hata mimi mwenyewe sina inawezekana ilikuwa/ni tabia ya mtoa mada so amekuja kuweka hapa indirect kuangalia wangapi wanamsuport.

Hahahaaa mimi paroko wewe tena nabii mkubwa
 
Yaani ulivyotukusanya woooote eti " wanaume na wanawake, wakubwa na wadogo, matajiri na maskini......." hapana mkuu sio kweli mimi sio "mgonjwa"
 
Hasa wanaume picha za utupu za wanawake ndo mmezijaza kwenye simu zenu
 
he mwenzio hata nilikuwa sijui, na hata sijui unasave wapi..na haka ka nokia ka tochi ni sms na kupiga tu..kifupi huwa situmii simu zaidi ya simu
 
Pole kwa kupata talanta ya mawazo mgando muda huu ungewaza jinsi gani utajikwamua kutoka katika hali uliyonayo
 
Me niliwahi kuugua hako kaugonjwa ila sasa nimepona kabisaa baada ya kupata mechi za kutosha
 
Kuna ubaya gani kama umeshatimiza miaka 18+ ?
 
Back
Top Bottom