Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,586
Alipojifungua ulimrudia?!Mi nilimchukia wife mpaka nikampa Talaka akajifungulie kwao!
Alipojifungua ulimrudia?!Mi nilimchukia wife mpaka nikampa Talaka akajifungulie kwao!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hapo dawa ni kuwahi kuamka
[emoji15]Kuna jirani Mume wake alikuwa anapenda vitu vichachu, Mara embe mbichi,ndimu, yaani dalili zote za mjamzito .sasa kibaya zaidi mkeo hakuwa mjamzito na alikuwa ana mtoto Mdogo, Watu wakamwambia wewe jiongeze mmeo kampa mimba mwanamke mwingine, kweli alipochunguza akakuta ni kweli.waliachana
Iloooooo....mkuu shida ni kwamba kama alivyo learner wa gari anavyobabaika na mimi nitakua learner wa kubeba mimba, ataweza ? mara inataka sambusa, mara serengeti miksa konyagi kwa mbaaali, ghafla mimba inataka nichepuke [emoji16][emoji16][emoji16]...@
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kumsingizia shetani bwana, hata kwa hili umuonei huruma?
NdiooKwa hiyo hichi kitambi changu nilichonacho ni mimba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye pu....mbu ndio pazurinijuavyo mimi kuwa ukimpa mtoto au mke wa mganga mimba halaf ukaikataa... hapo utaibeba iwe tumboni au kwenye pu.mbu ila mimba utaibeba aisee...!!!!
Eti? [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanamuona daby hajui kununa ndio maanaHahahahaha!!kwa nini umeona uweke mfano wa Daby na siyo...
mkuu kweli wewe katili [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye pu....mbu ndio pazuri
Kwa mara ya kwanza na mimi napita!
Yeah! Si ilkuwa mimba Tu...Alipojifungua ulimrudia?!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Yeah! Si ilkuwa mimba Tu...
mimba ya chakula na pombe?Ndioo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mimba ya chakula na pombe?
Mkuu hii kitu iliwahi nitokea mateso yote ya wife yalihamia kwangu sintousahau ule mwaka niliteseka sana [emoji24][emoji24][emoji24].. Na bahati mbaya mtoto akafia tumboni mwa mamaye