Hata wanaume hubeba mimba

Hata wanaume hubeba mimba

Kuna jirani Mume wake alikuwa anapenda vitu vichachu, Mara embe mbichi,ndimu, yaani dalili zote za mjamzito .sasa kibaya zaidi mkeo hakuwa mjamzito na alikuwa ana mtoto Mdogo, Watu wakamwambia wewe jiongeze mmeo kampa mimba mwanamke mwingine, kweli alipochunguza akakuta ni kweli.waliachana
Mi imewahi hivyo na mimba ilikuwa ya mpangaji wetu lakini mbona sikuwa nahusika kwa lolote
 
Kuna mkaka Alinisimulia kua wakati baby mama wake mjamzito nae alikua ana experience dalili zote za ujauzito... Hadi siku mdada aanajifungua mkaka alipata homa ya haja mpaka pale mtoto alipotoka. Kwa maelezo yake anasema inatokea kama siku mimba ikitungwa na mdada akaamka kabla ya mwanaume basi anakuachia dalili za mimba... Unakua na kichefuchefu, kupenda vitu vichachu na udongo n.k
Sijui kama ni ukweli
sikujua kuwa hata kwenye uwongo upo vizuri...!!!!!
 
Sio uongo!!!
yaan wewe mwanamke acha tu nikutafutie mume akuoe maana daah!!!
kuwapa wenzio makavu wewe...
uwongo ulioenda kidato wewe...
kuwapa wenzio hakshishi wewe...

nimenyoosha mikono kwa kweli..!!!!
 
yaan wewe mwanamke acha tu nikutafutie mume akuoe maana daah!!!
kuwapa wenzio makavu wewe...
uwongo ulionda kidato wewe...
kuwapa wenzio hakshishi wewe...

nimenyoosha mikono kwa kweli..!!!!
We umeniamulia leo!!!
 
maana umeshanibumbulusha ngoja nimtwange mimba halafu nimwambie hiyo mimba nimembebea itabidi anihudumie mimi ni full kujiachia supu kuku haipigi chenga, serengeti mbili asubuhi, mchana mbili usiku tatu mara miezi tisa. sijatengeneza shavu tu mpaka hapo ?
[emoji23] [emoji23] na ukipata zile morning sickness utafanyaje mkuu??
 
Mkuu hii kitu iliwahi nitokea mateso yote ya wife yalihamia kwangu sintousahau ule mwaka niliteseka sana [emoji24][emoji24][emoji24].. Na bahati mbaya mtoto akafia tumboni mwa mamaye
Pole sana mkuu blance86
 
Kuna mkaka Alinisimulia kua wakati baby mama wake mjamzito nae alikua ana experience dalili zote za ujauzito... Hadi siku mdada aanajifungua mkaka alipata homa ya haja mpaka pale mtoto alipotoka. Kwa maelezo yake anasema inatokea kama siku mimba ikitungwa na mdada akaamka kabla ya mwanaume basi anakuachia dalili za mimba... Unakua na kichefuchefu, kupenda vitu vichachu na udongo n.k
Sijui kama ni ukweli
Kama kuna ukweli fulani hivi Paprika.

Nilishaga wahi kushuhudia hii mambo kwa jamaa yangu fulani hivi.

Nilikuwa namucheka sana aiseeee!!
 
Kuna jirani Mume wake alikuwa anapenda vitu vichachu, Mara embe mbichi,ndimu, yaani dalili zote za mjamzito .sasa kibaya zaidi mkeo hakuwa mjamzito na alikuwa ana mtoto Mdogo, Watu wakamwambia wewe jiongeze mmeo kampa mimba mwanamke mwingine, kweli alipochunguza akakuta ni kweli.waliachana
Hahahahahaha!!
 
mkuu shida ni kwamba kama alivyo learner wa gari anavyobabaika na mimi nitakua learner wa kubeba mimba, ataweza ? mara inataka sambusa, mara serengeti miksa konyagi kwa mbaaali, ghafla mimba inataka nichepuke [emoji16][emoji16][emoji16]...@
Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom