Hata wanaume hubeba mimba

Hata wanaume hubeba mimba

Unaweza kudhani ni story za vijiweni lakini kwa wale wenye watoto tayari kati yao wanaweza kujua nazungumzia nini
Mimba ni matokeo ya muunganiko wa manii ya mwanaume na mayai ya kike, na baadhi ya mimba huja na changamoto mbalimbali kama kuumwa mara kwa mara, kichefuchefu, kutapika unaposikia harufu fulani, kupenda ama kuchukia aina fulani ya vyakula nk nk
Hizi changamoto humtokea mwanamke lakini kwa bahati mbaya sana kuna wakati kibao humgeukia mwanaume na shughuli huanzia hapo [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Mkuu nakuheshimu ujue!! hahahahahahahahahahahahahahaha hatari
 
Kuna mkaka Alinisimulia kua wakati baby mama wake mjamzito nae alikua ana experience dalili zote za ujauzito... Hadi siku mdada aanajifungua mkaka alipata homa ya haja mpaka pale mtoto alipotoka. Kwa maelezo yake anasema inatokea kama siku mimba ikitungwa na mdada akaamka kabla ya mwanaume basi anakuachia dalili za mimba... Unakua na kichefuchefu, kupenda vitu vichachu na udongo n.k
Sijui kama ni ukweli
🙂😀🙂🙂🙂Kwahiyo mkewe akijifungua...yeye anakata gogo!
Nimecheka sana aisee!!!
 
Haaahaaaa!!!! Sidhan kama sababu ni hiyo
Mwezi wa pili kuna binti nilimpa mimba hapahapa chuoni ninasoma naye!!!!!!!!!! Yeye ndo aliwahi kuamka lkn dalili sikuwa nazo..... Ila game ilikuwa tamu mno
 
🙂😀🙂🙂🙂Kwahiyo mkewe akijifungua...yeye anakata gogo!
Nimecheka sana aisee!!!

Haaahaaaa!!!! Sidhan kama sababu ni hiyo
Mwezi wa pili kuna binti nilimpa mimba hapahapa chuoni ninasoma naye!!!!!!!!!! Yeye ndo aliwahi kuamka lkn dalili sikuwa nazo..... Ila game ilikuwa tamu mno
Haitokei kwa kila mtu
 
Back
Top Bottom