Hata wanaume hubeba mimba

Hata wanaume hubeba mimba

Mimi niliteseka miezi mitatu ya mwisho yote, siku ya kujifungua yale masaa kama matani kabla niliumwa na tumbo mpaka nilikuwa hoi siwezi tembea, mwenzangu alikuwa mzima anadeki nyumba, chupa ya mtoto ilipasuka akiwa nyumbani wala hamna habari, alichukuliwa kupelekwa hospitali akiwa mzima wakati mimi nikiwa nyumbani hoi, alipoanza uchungu wa kujifungua tu, mimi mzima, nikaitwa kuchukua mtoto wangu.
Hakika kuna kutia mimba na kutiana mimba, nyie proudly mlitiana mimba
 
Eti wanasema siku ya mimba unavosex na mwanamke kunakua na hali tofauti hata ile kufikia kileleni raha inakua tam zaidi ya siku zingine.

Mi sijui bana lakini zaidi ya kuskia story tu
Mmmmh!!

Nimejihisi tofauti kwa kweli hayo maelezo yako.

Yaani mimi sijui nipoje tu..nikisoma popote pale neno kufika kileleni yaani huwaga navuta picha fulani kwamba ndo nafika mie au nafikisha demu kileleni.

Yaani kuna raha ambayo kamwe huwezi kuielezea kwa kweli tena ukute unafika hivi ukaachia via vyote vya.....Aiseeeeeeeeee!!

Bhasi tu Valentina.
 
Ha haaa wewe
 
Mimi niliteseka miezi mitatu ya mwisho yote, siku ya kujifungua yale masaa kama matani kabla niliumwa na tumbo mpaka nilikuwa hoi siwezi tembea, mwenzangu alikuwa mzima anadeki nyumba, chupa ya mtoto ilipasuka akiwa nyumbani wala hamna habari, alichukuliwa kupelekwa hospitali akiwa mzima wakati mimi nikiwa nyumbani hoi, alipoanza uchungu wa kujifungua tu, mimi mzima, nikaitwa kuchukua mtoto wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
maana umeshanibumbulusha ngoja nimtwange mimba halafu nimwambie hiyo mimba nimembebea itabidi anihudumie mimi ni full kujiachia supu kuku haipigi chenga, serengeti mbili asubuhi, mchana mbili usiku tatu mara miezi tisa. sijatengeneza shavu tu mpaka hapo ?
Haipangiwi loh... Hiyo inakuja automatically
 
Hivi mbona naskia siku ya kutunga mimba wakati mwingine mwanaume anajua kwamba hapa nimeacha kizigo baada ya kumaliza mechi
Inakuwaga tamu sana [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna mkaka Alinisimulia kua wakati baby mama wake mjamzito nae alikua ana experience dalili zote za ujauzito... Hadi siku mdada aanajifungua mkaka alipata homa ya haja mpaka pale mtoto alipotoka. Kwa maelezo yake anasema inatokea kama siku mimba ikitungwa na mdada akaamka kabla ya mwanaume basi anakuachia dalili za mimba... Unakua na kichefuchefu, kupenda vitu vichachu na udongo n.k
Sijui kama ni ukweli
Na nikimpachika mimba dem, na kanitangulia kuamka af sijamuoa vip izo dalili za mimba nazipata?
 
Back
Top Bottom