wewe je? Kaa sawa mwana jf! Unaporusha mawe yako hapa!
wewe yaonekana kama ni sofia simba au yule waziri mstaafu wa fedha.Hivi nyie vijana mnajina nyie ndio mnaoyajuwa saaana? Mnanchekesha!
Kwa kuwa mimi ni askari mtiifu kwa Amiri jeshi mkuu, kila nitakapokuwa naiona avatar ya rejao mahali popote, itabidi niwe naipa heshima ya saluti. Ahsante Director kunifumbua macho.yupo anatumia id inaitwa rejao
yupo anatumia id inaitwa rejao[/Basi Director tunaomba tuamshie Rejao hapo ili aje atusaidie kuiweka sawa hii hoja. Uko nae karibu sana ee..!?]
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.
NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?
Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU
WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA!
yupo anatumia id inaitwa rejao[/Basi Director tunaomba tuamshie Rejao hapo ili aje atusaidie kuiweka sawa hii hoja. Uko nae karibu sana ee..!?]
Kwa nini mkuu'naongea nachokijua
yupo anatumia id inaitwa rejao[/Basi Director tunaomba tuamshie Rejao hapo ili aje atusaidie kuiweka sawa hii hoja. Uko nae karibu sana ee..!?]
Leo hayupo zamu labda kesho!