Hata kama una haki....

Hata kama una haki....

Wewe utaishi mpaka lini?
Unaulizwa swali badala ya kujibu nawe unauliza tena swali? Hovyo kabisa. Hii ndio dalili inyoonyesha wewe ni mjinga na haufai hata kujadili mambo ya watu wenye akili kama Tundu Lissu, uliona wapi akili ndogo ikijadili akili kubwa?
 
Kwa hisani kutoka United Repulic of Mazezeta. watu wake utawatambua tu hata waishi abroad.
 
Rais Magufuli anendesha nchi kwa ukanda!
 
Mie nilijua huyu jamaa (Nyani ngabu) ni mtu wa maana.

Kumbe bure kabisa.

Umesahau yale maneno aliyoyasemaga yule mbunge wa Zanzibar kuwa nchi ya mapinduzi haichukuliwi kwa karatasi.

Mpaka leo namtafakari afu nashindwa kuelewa alikuwa anamaana gani.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pangua hoja kwa hoja,

Ni sababu ipi inayomsababisha Naibu waziri wa nishati na madini kuendelea kuwepo kwenye ofisi husika ili hali amekuwa ktk ofisi hiyo kwa miaka zaidi ya 20 akihudumu kama mwanasheria wa wizara na report ya Osoro imesema wazi watendaji wote waliokuwepo kipindi mikataba inapitishwa wanapaswa kuchukuliwa hatua ikiwemo kuwaondosha ktk wizara husika?

Mradi ya Chato Internatinational Aiport bajeti yake imepitishwa na bunge lipi zaidi za mpwa Dotto kusaini mapesa yaelekee huko tena bila kuzingatia mfumo wa kutangaza tenda??

Gorofa la TRA huko chato tender yake ilitangazwa lini na wapi zaidi ya kampuni ya binamu kupewa deal kinyemela??

Watanzania wangapi wamefukuzwa kazi na kunyimwa stahiki zao kwa tuhuma za vyeti feki wakati huo-huo Bashite mtuhumiwa wa cheti feki anabebwa mgongoni na Magufuli?

Ni mtanzania gani mwenye jeuri zaidi ya Bashite anayeweza kuvamia media house akiwa na mitutu ya bunduki pamoja na walinzi wa rais alafu rais husika anasimama mbele ya watanzania na kumpongeza muhusika kwa uvamizi huo??

USUKUMA pekee ndiyo sababu ya vituko hivi vinavyofungiwa macho na mpendwa wenu Pombe.
Posti yako inanuka ukabila mno. Kwanza kabisa Magufuli sio msukuma. Na hata kama hayo yote aliyoyafanya ni kweli je kwani serikali imeacha kushughulikia miradi iliyopo sehemu nyingine nchini? Mbona uwanja wa ndege Dodoma unakarabatiwa hamsemi? Vipi na reli ya kati ya kiwango cha kimataifa? Yaani unataka kutuaminisha kuwa sasa hivi kila kitu kinafanyika kwa wasukuma tu?
 
Posti yako inanuka ukabila mno. Kwanza kabisa Magufuli sio msukuma. Na hata kama hayo yote aliyoyafanya ni kweli je kwani serikali imeacha kushughulikia miradi iliyopo sehemu nyingine nchini? Mbona uwanja wa ndege Dodoma unakarabatiwa hamsemi? Vipi na reli ya kati ya kiwango cha kimataifa? Yaani unataka kutuaminisha kuwa sasa hivi kila kitu kinafanyika kwa wasukuma tu?
Kwasababu Chato International Airport ni white elephant project.
 
Akifungwa mtasema kaonewa.
Atakuwa wa kwanza kufungwa? Au wa mwisho?Uzuri "malaika' hawafungwi.Sanasana wanatupwa motoni.Hovyo kabisa,mnameteta sio kwa lingine bali "homeboy",zamu yetu!
 


Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...

Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.

Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.

Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.

Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.

Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.

Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.

Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.

Hahahahahahhahahah pambafuuuu...mnajitekenya then mnacheka wenyewe.....hahabahahaah DISCO TOTO
Na yule mwingine hana haki ya kuita watu vilaza.

Pia hana haki ya kutoa kauli za udhalilishaji wa wananchi na zinazodhalilisha Taasisi nzima anayoitumikia.

Charity begins at home.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu Chato International Airport ni white elephant.
Kisa ni International airport ndio imekua ishu ya ukabila na ukanda? Mbona sijawahi kusikia kuwa Kilimanjaro International airport nayo pia ilijengwa kwa sababu ya ukabila? Raisi wetu ana mapungufu makubwa sana lakini hili la ukabila halina ukweli wowote kabisa.
 
Back
Top Bottom