Mnaoshadadia huo utumbo wa Lissu Serikali kususiwa msifikiri ikisusiwa Magufuli atakosa lolote, narudia vijana angalieni siyo kila jambo ni kushangilia tu kisa limesemwa na unaempenda sana, kwa wale mnaotembea duniani humo mkifanikiwa kufika Harare mtaona maisha ya pale na mjiulize baada ya maisha yale Mugabe kakosa nini na familia yake, maneno kama ya Lissu ni ya kupingwa na kila mwenye akili timamu, ukiwaza chama chako peke yake utashindwa kutumia bongo kufikiria otherwise endeleeni kushadadia ujinga. Tanzania ikisusiwa kiuchumi inamaana pamba, kahawa, madini, katani, korosho na mazao mengine yanafungiwa kuingia ktk soko la dunia sasa jiulize Magu analima kweli hayo mazao? Unafikiri kama huyo mnaesema asusiwe halimi wala hachimbi dhahabu atakaeathirika siyo baba, mama, shangazi au mjombaako...Think twice unaweza kushadadia lkn mwisho ukaĺia wakati Magu anakula pensheni yake, Magu tumsemeni lkn kwa staha huku Utaifa ukiwekwa mbele kama tai
Sent using
Jamii Forums mobile app