Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,930
Hapo mbona ni kama alikuwa anatania tu...hata mkewe anaonekana kucheka....
Kwa jibu lako, hiyo signature yako ina maana sana.
Hapo mbona ni kama alikuwa anatania tu...hata mkewe anaonekana kucheka....
Unapata wapi uhalali wa kumkosoa wa pili na hujamkosoa wa kwanza wakati wamefanya kosa lile lile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unamuhusu kwanini na yeye hujamjumuisha hapo? Au kuweka picha yake?Naam, hata yeye huu ujumbe unamhusu.
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.

Hayo yaliyofanyika kukabiliana na kuchukua hatua dhidi ya wahalifu kutoka hewa kila mahali hadi rushwa kubwa zilizokuwa zimewekwa kapuni..wewe ungeweza??? waliomtangulia kwa nini walishindwa..sifa muhimu ya serikali yoyote ni kuwa powerful!!! madaraka si kufanya watu wacheke kijana..Sasa tupo awamu ya tano.
Nina yupi Rais msema hovyo asiye na staha katika wote watano?
Nani anaongoza kuomba kuombewa?
Kwa sababu gani aombewe?
Unapata wapi uhalali wa kumkosoa JPM kuwa ni dikteta na hujamkosoa mwenyekiti wako wa kudumu Mbowe?Unapata wapi uhalali wa kumkosoa wa pili na hujamkosoa wa kwanza wakati wamefanya kosa lile lile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anafanya yaliyo sahihi, wasiwasi wa nini?Hayo yaliyofanyika kukabiliana na kuchukua hatua dhidi ya wahalifu kutoka hewa kila mahali hadi rushwa kubwa zilizokuwa zimewekwa kapuni..wewe ungeweza??? waliomtangulia kwa nini walishindwa..sifa muhimu ya serikali yoyote ni kuwa powerful!!! madaraka si kufanya watu wacheke kijana..
Akitaka hata aweke ukoo wake wote sawa tu (Hayanihusu hata chembe): Hizi tabia siyo ngeni kwenye siasa za Tanzani. Ila kinachonihusu mimi ni kwamba Magufuli alitutukana matusi makubwa sisi Wahaya na kutufanyia dhuluma kwenye haki zetu na hilo (Rest Assured) litakuja kumgharimu siku si nyingi.Lakini si tunaambiwa anapendelea kanda ya ziwa? Iweje sasa aliwatukana na kuwadhulumu pesa zenu mlizochangiwa na Watanzania?
Akifungwa mtasema kaonewa.Kama ana haki na anaitumia vibaya,si mshinde kesi na kumfunga?
Kama anawashinda mahakamani ujue anaitumia vema haki yake.
Halafu kati ya waropokaji wakubwa nchi hii,Lissu anamfikia huyo "mkuu wenu" wa na katerero!?
Hajui kufa ni lazima kuishi ni bahati
Wewe hautakufa udumu mileleNa ndiko anakoelekea huyo Lissu wenu....kuwa mfu.
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.

Unafurahia na kuchekelea .....! Hongera sanaKama mlivyompoteza Ben Saanane