valuablecock
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 783
- 804
Kati ya mtu ambaye mimi humheshimu sana kwa kubalance mambo ni Nyani Ngabu but awamu hii nafikiri kuna mtu anatumia id yake
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.
Hivi mtu unajenga Chato International Airport kwa ajili ya nani na kwa routes zipi huko Chato?Kisa ni International airport ndio imekua ishu ya ukabila na ukanda? Mbona sijawahi kusikia kuwa Kilimanjaro International airport nayo pia ilijengwa kwa sababu ya ukabila? Raisi wetu ana mapungufu makubwa sana lakini hili la ukabila halina ukweli wowote kabisa.
KaribuNikupe orodha ya mada zangu zote ninazomchana Magufuli humu?
Kupinga uonevu si kuzusha mambo.
Karibu
LetaNikupe orodha ya mada zangu zote ninazomchana Magufuli humu?
Huu ni ukweli pasipo chembe ya shaka.Rais Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya kindugu, kikabila, na kikanda....
Vipi, una kadi yake?Na ndiko anakoelekea huyo Lissu wenu....kuwa mfu.
Ni uongo, uzushi, uzandiki, na upekepeke.
Stay tuned...ngoja nifike nyumbani.
Hivi mtoa mada una akili sawasawa,?au unaona wasomaji wote wa mitandao ni mazoba kama watu fulani?hivi wanaopaswa kutujuza alipo ben saanane ni chadema waliopotelewa na kijana wao au ni dola yenye mamlaka ya kulinda raia na mali zao?na ikiwa dola inamjua yeyote aliyehuska na upotevu wa ben ni jukumu la dola kumkamata wala sio jukumu la raia yeyote kumkamata na hata mbulula wenzako wanajua hivyo ila mnajitoa fahamu,hivyo tambua haki ya ben haitapotea iko siku wakulu watasimama kwenye kizimba wakitakiwa kujibu tuhuma hizi na nyinginezo,kama hujui hili uliza yaliyomkuta HISENE HABRE aliyekuwa rais wa CHADKiukweli kwa Sasa unaonekana Shujaa mkubwa Sana kwa Baadhi ya wadau katika taifa hili kwa kupambana na kile unachoita uonevu unaofanywa na serikali ya awamu ya Tano ya Rais Magufuli, japo wengine tupo tofauti kidogo na mtizamo wako.
Kila upatapo dhamana, uitishapo vyombo vya habari, cha Kwanza ni attacking kwa Rais Magufuli.
Mimi naona si jambo jema hata kidogo.
Taasisi ya Urais ni kubwa Sana.
Rais Magufuli ni muungwana Sana.
Haingilii vyombo vya dola kama unavyodai, Akiamua kutumia mamlaka alionayo kikatiba utakua kwenye shida kubwa Sana.
Pamoja na wewe kudai dola inaendeshwa kiimla bado mahakama hizohizo ambapo Yeye ndo mteuzi wa majaji, zinakupa dhamana.
Lissu nakusihi jikite kwenye siasa za maendeleo kwa taifa lako, Sana Sana kwenye Jimbo lako, ambalo linachangamoto nyingi Sana na wewe ndo tegemeo lao.
Ukitaka kufahamu wanaokushangilia hawana shukurani kumbuka kwa BEN SAANANE.
Walimsifu Sana Lakini leo hii wapo kimya kabisa ukiwemo na wewe mwenyewe, hamtaki kujua yu wapi, Kifupi mmempotezea.
Alikua msaidizi wa Mbowe wa karibu.
Mbowe yupo kimya kabisa kama vile hatujawahi kua na Mtu anaeitwa BEN SAANANE.
Dunia ndivyo ilivyo cheza siasa, wajibika kwa step zenye tahadhari Sana, Kwani Sisi wadau tunakuhitaji na familia yako ndo inakuhitaji zaidi.
Kumbuka unapokonga nyoyo za mashabiki wako, ujue pia unakwaza nyoyo za wengine.
Mwisho nakutakia Siku njema kabisa yenye baraka tele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mlivyompoteza Ben Saanane
Kama mlivyompoteza Ben Saanane
Kwani wewe unaelekea wapi! Utaishi miles!Na ndiko anakoelekea huyo Lissu wenu....kuwa mfu.
Kama unamhusu si ungechanganya basis!! Mbona kama umekuwa biased!Naam, hata yeye huu ujumbe unamhusu.
Busara maana yake nini?
unaitambuaje hiyo busara?
Inapimwaje hiyo busara?
Nani na nani nchi hii wanayo hiyo busara?
Hakuna saundi hapo...ngoja nifike nyumbani...