min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,242 Reaction score 167,370 Aug 11, 2026 Thread starter #61 raraa reree said: Wakati wa kurudisha deni mtu anatakiwa akuingizie kwenye akaunti akikupa mkononi unaona kama umeokota dodo una anza kutumbua Click to expand... Ushauri wako ni muhimu sana bwashee 😅
raraa reree said: Wakati wa kurudisha deni mtu anatakiwa akuingizie kwenye akaunti akikupa mkononi unaona kama umeokota dodo una anza kutumbua Click to expand... Ushauri wako ni muhimu sana bwashee 😅
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,951 Reaction score 183,444 Aug 11, 2026 #62 min -me said: Niwapange ili iweje? Click to expand... Ili wapangike.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,242 Reaction score 167,370 Aug 11, 2026 Thread starter #63 Espy_ said: Ili wapangike. Click to expand... Asee sio level zangu hizo shindii
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,246 Reaction score 71,880 Aug 12, 2026 #64 min -me said: Kalpana Ma mnyo hizi swaga zio zako nakujua wewe😆 Click to expand... Ma mnyo hapo ni nani sasa wa kwetu....au huyo mkopaji😅 au mimi ndo mkopaji nikukope chapuuu
min -me said: Kalpana Ma mnyo hizi swaga zio zako nakujua wewe😆 Click to expand... Ma mnyo hapo ni nani sasa wa kwetu....au huyo mkopaji😅 au mimi ndo mkopaji nikukope chapuuu
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,246 Reaction score 71,880 Aug 12, 2026 #65 min -me said: Mno ni mlevi sna Click to expand... Amechelewa kujua..