Hahaha swaga zangu ni zipi bamnyo?Ma mnyo hizi swaga zio zako nakujua wewe😆
Wanajukwaa huyu yuko mto wa mbu chuga ndani ndani kavimbewa mbege tuUkishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa.
Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana , sasa nimeona kama nimeokota pesa na nipo bar mda huu nazilamba bia kwa furaha , huku nikipotezea kabisa malengo ya hiyo pesa 🤔
Kama unamkopea mtu , kiukweli usitarajie chochote kutoka kwake au kwenye hiyo hela , naona kama hili lipo kisaikolojia zaidi 🤔
Nimejifunza hili kwa njia ngumu sanaKwanini umkopea mtu pesa wewe ni micro finance au benki ? huo ni huruma wakijinga bora nikusaidie pesa ya bure kama msaada, sitaki kujitafutia maadui wa hiari.
Kwahiyo sipaswi kuongezewa?Sijaona ukiomba pesa hovyo hovyo wewe ni mpambanaji ma mamnyo
Natulia ba mnyogode! Mi nawe tena!!🤸🏽♂️Ma mmnyo na mipango , kabambe wewe tulia , ni win win situation
UngemsameheUkishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa.
Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana , sasa nimeona kama nimeokota pesa na nipo bar mda huu nazilamba bia kwa furaha , huku nikipotezea kabisa malengo ya hiyo pesa 🤔
Kama unamkopea mtu , kiukweli usitarajie chochote kutoka kwake au kwenye hiyo hela , naona kama hili lipo kisaikolojia zaidi 🤔
Mchaga hajui kiswahili huyo.Kichwa Cha taarifa yako kinaonesha umemkopea. Lakini maelezo yako yanaonesha umemkopesha .Kipi ni Kipi hapo?
Acha kujielezea sana,,mpe hela.Mamnyo na mipango , kabambe wewe tulia , ni win win situation🤔