Hata kama atalipa ukishamkopea pesa ukwisha

Hata kama atalipa ukishamkopea pesa ukwisha

Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa.

Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana , sasa nimeona kama nimeokota pesa na nipo bar mda huu nazilamba bia kwa furaha , huku nikipotezea kabisa malengo ya hiyo pesa 🤔

Kama unamkopea mtu , kiukweli usitarajie chochote kutoka kwake au kwenye hiyo hela , naona kama hili lipo kisaikolojia zaidi 🤔
Kumbe we ni mlevi aisee 🤔
 
Back
Top Bottom