Hata $ ilipanda kama mafuta na haikushuka mpaka kesho! Mafuta sokoni ni 1,375

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Petroli - Bei soko la dunia ni Sh1,375 kwa lita. Gharama ya uagizaji ni Sh.89 kwa lita. Hivyo, gharama mafuta kufika bandari ya DSM ni sh. 1,464. Lakini lita 1 petroli tunanunua sh. 3,600 vituo vya mafuta. Mteja analipa sh. 2,136 tozo za serikali. Tozo ni zaidi ya nusu ya bei ya bidhaa!
 
Unataka ku - justify nini kwa maelezo yako haya?

Bila shaka umo kwenye kamati ya "kupandisha bei" ama ni mjumbe wao na wamekutuma kwenye social medias uposti hii kitu kuwaandaa watu kisaokolojia kupokea bei mpya kesho ya TZS 4,000, au siyo..?
 
Umeelewa lakini alichoandika mtoa uzi? I dauti.
 
Angola na Nigeria zingekuwa kwenye mwambao wa bahari ya Hindi labda tungenunua Lita kwa 1800
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…