mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 820
- 1,335
Petroli - Bei soko la dunia ni Sh1,375 kwa lita. Gharama ya uagizaji ni Sh.89 kwa lita. Hivyo, gharama mafuta kufika bandari ya DSM ni sh. 1,464. Lakini lita 1 petroli tunanunua sh. 3,600 vituo vya mafuta. Mteja analipa sh. 2,136 tozo za serikali. Tozo ni zaidi ya nusu ya bei ya bidhaa!