Uchaguzi 2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

Hao watu wa mbowe pia ni vichwa maji mtachagiaje kila mwaka mtu yule yule ambaye hata ofisi ya chama chake kashindwa kujenga.Lipigeni chini jizi hilo
 
ICC na vyombo vingine vya uchunguzi tayari wanayo list ya Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwanyanyasa wapinzani kuanzia OCD wa Tunduma mbeya mpaka huko hai mara baada ya uchaguzi mkuu wote watafikishwa ICC akiwemo IGP mwenyewe.
Wanatetea chama ambacho akijali maslai yao 5 yrs Hakuna nyongeza za mishahara, kikotoo, ukistaafu kupata pension yako tu ni Kazi kuliko hata kutafuta kazi,kula tu ni Hadi mke auze vitumbua.
Wanaume wazima wanatumika hovyo kwa maslai ya mwanaume mwenzako tena apitae.
Saluti upunguza uwezo wa kufikiri vyema
 
Back
Top Bottom