Uchaguzi 2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

Police na ccm awaelewi kete za upinzani wapinzani wanakusanya ushahidi kila matendo na matukio yote wanayotendewa ili kutengeneza ushahidi mzuri ambao polisi na ccm hawawezi chomoka uzuri technology utunza kila kitu ili siku ya mwisho usiseme umeonewa, maana utaonyeshwa live "we si ndo umesema piga bomu" au huyu nani" hakuna ushahidi mbaya sana Kama wa recording, Kama ule wa wasaliti huwa wanafanya nini" hapa unachomakaje sasa.
ICC na vyombo vingine vya uchunguzi tayari wanayo list ya Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwanyanyasa wapinzani kuanzia OCD wa Tunduma mbeya mpaka huko hai mara baada ya uchaguzi mkuu wote watafikishwa ICC akiwemo IGP mwenyewe.
 
Simnasema polis ni ccm,kwa hiyo hiyo ni kazi ya ccm.Ila msisahau kuwalipa mishahara kutoka mfuko was chama.kama green guard.vinginevyo mtakuwa mnakosea.
Ni kosa Polisiccm kulipwa mishahara kwa pesa za walipa kodi wote wakati ni chombo binafsi cha CCM ni wakati sasa CCM iwalipe mishahara kwa pesa zao binafsi waache kulipwa kwa pesa za umma
 
Hivi ile bongo muvi ya mheshmiwa makengeza kuvamiwa/kushambuliwa na hatimae kuvunjwa mguu iliishia wapi, maana ilisemekana kuwa waliomvamia walimwambia kabisa eti "wewe umekuwa msumbufu sana kwa serikali, hatukuui ila tumetumwa kuja kukupunguza makali" ............

Kipigo kizito tena cha kimya kimya kikaanza kutembea .....na katika purukushani zote hizo mguu ukavunjika lakini sehemu nyingine za mwili hazikupata hata mkwaruzo, na hata miwani nayo haikuvunjika
 
Hujui kitu
 
Back
Top Bottom