Uchaguzi 2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

Hajadhalilishwa na polisi. Yeye mwenyewe ndiye aliyejidhalilisha kwa kutumia lugha chafu kwa polisi.
Simnasema polis ni CCM, kwa hiyo hiyo ni kazi ya CCM. Ila msisahau kuwalipa mishahara kutoka mfuko wa chama.kama green guard. vinginevyo mtakuwa mnakosea.
 
OCD ni kiumbe mdogo sana kwa Nguvu ya wananchi alikuwa anashibitisha upuuzi wake tuu
Nguvu ipi ya mwananchi? Una jeshi wewe? Wananchi wote wanamkubali Mbowe kweni yeye nani? Msiwe wapuuzi,shaurini Afrika tuache siasa tujikite kufanya kazi za kujenga uchumi wetu kwa kutumia rasilimali zetu na hasa ardhi tuliyo nayo
 
Tuhakikishe tunakikataa hiki Chama
IMG_20201002_212858.jpg
 
Kura atakazo pata Mbowe ni nyingi kuliko alizo wahi kupata katika kipindi chochote kile
 
Back
Top Bottom