Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 492
Chagua Magufuli
Chagua Magufuli
Wewe mwenyewe ni MPUUZI sijapata kuona unachofanya wewe ni kuhamasisha ukabila au utiifu wa sheria?Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?
Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!
Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!
Sijui ni wapi duniani huwa kura zinalindwa na wapiga kura??? Mabadiriko hayalazimishwi huja yenyewe automatic kwa maana ya watu ambao hujikuta tu kwenye wingi wa kudai mabadiriko kwa maana ya dhamira moja iliyomioyoni mwao baada ya kwa pamoja kugundua sehemu husika haina maisha na ni bora ya kifo,,, sijaona mtanzania aliyechoka kufikia kukinga kifua chake apigwe risasi kuwaokoa wengine au kwa manufaa ya kizazi kijacho,, msijaribu kulazimisha vitu kwa matakwa ya wachache waitakao ikulu,, hatuko tayari kuona familia zilizotelekezwa baada ya wapendwa wao kufa kutetea mabwanyenye ambayo hayatokuwa tayari kutoa msaada kwa wahanga zaidi ya kuendeleza urafiki na watawala huku watoto wakiendelea na biashara zao chafu.. jitahidi ufe ukipigania mabadiriko ya kweli ambayo mwishowe wahanga wataenziwa na kukumbukwa kwa ushujaa wao,,, vipi wahanga wa maandamano ya lema arusha na maandamano mengine ni nani anawakumbuka??? Zaidi yakumuona lema akiwafanya wauaji marafiki na kuwasujudia waende ikulu.. TUSIKURUPUKIE SIASA,, hata wasiompenda lowassa wako wengi na hawako tayari kuona mnalazimisha lowassa aende ikulu huku hastaili na kura hazikutosha,, think twice...
Amen..!! Mungu atatutangulia na Lowassa atashinda.Naomba ujumbe huu umfikie mh Jakaya Mrisho Kikwete, Amiri jeshi mkuu wa jamhuri ya muungano Tanzania, Rais aliyebakiwa na siku chache, masaa machache kuiacha Ikulu. Swala la kuiacha ikulu ni swala la kikatiba, tena lipo wazi hakuna wa kulipinga.
Nimefuatilia hotuba ya Rais J. K, kwa makini sana, hasa kwenye kipengele kile cha uchaguzi. Ametumia hasira, ameongea kwa ghadhabu na vitisho vingi kwa watu wa upinzani.
Nikajiuliza sana juu ya kauli zake.
Kwanza nilijihoji mwenyewe kwamba haya maazimisho ni ya chama cha mapinduzi CCM au ni maazimisho ya kilele cha Mwenge au ni maazimisho ya kifo cha mwasisi wa Taifa Letu Mwl. J. K. Nyerere? Maswali haya yalinijia baada ya kuona Mh J. KIKWETE ameuvaa U CCM na sio Urais.
Najua sina uwezo wa kumfikia moja kwa moja Mkuu wa nchi, ila ujumbe wangu utamfikia moja kwa moja au kupitia kwa wapambe wake.
Mh Rais naomba utambue mambo mawili matatu toka kwetu sisi tulio malofa na wapumbavu.Na kwa nia njema kabisa naomba ujue kuwa
1.Hatutaogopa kupigwa mabomu, kufungwa, kuuwawa au lolote kwa kutafuta haki yetu ya msingi. Tunaamin kuwa kifo ni siku moja tu wala sio mara mbili.
2.Tutapiga kura zetu na kuzilinda kwa mjibu wa sheria, taratibu na kanuni za uchaguzi wala si vinginevyo.
Hakuna wakututisha hata kidogo ndani ya nchi yetu ambayo tunaamini ni ya kidemokrasia.
3.Tutahakikisha mgombea tunayemhitaji anashinda kwa kumpigia kura nyingi za kutosha na kuhakikisha hakuna atakayeiba kura zetu, najua mwalijua hilo.
5.Kwa umoja wetu tutashirikiana na vyombo vyote kulinda amani ya nchi yetu Tanzania.
5.Tutatoa ushirikiano kwa yeyote anayependa haki itendeke, na tutamdhibiti atakayejaribu kupoka haki yetu.
Ikumbukwe mita 100 sio mbali sana ni sawa na usawa wa gori moja hadi gori jingine katika uwanja wa mpira.
Rais Kikwete kitendo cha kututishia kuwa tutakaolinda kura tutadhibitiwa na umeyaongea maneno haya kwa hasira kuu, unatudhihirishia wazi kuwa Chama chako cha CCM kimejipanga kuiba kura au kufanya kinyume na taratibu za uchaguzi .
Kama mlipanga mbinu chafu mkadhani tutaogopa basi imekula kwenu, tunatambua wazi kuwa, kuna magari mengi ya washawasha, askari wengi, vitendea kazi vya kisasa lakini sisi tunasema hatutaogopa vifaa hivyo kwakuwa sisi sio watu wa fujo ni watu wa haki.
Mwisho napenda Mh J. KIKWETE atambue kuwa yeye kaongoza kwa miaka yake 10 na anakwenda kupumzika, hivyo aende akapumzike kwa amani kabisa, ajiepushe na matamko yatakayokuja kumpeleka ICC wakati hakustahili kwenda huko hata kidogo, na Tr 25/10/2015 akapige kura alipojiandikishia amchague anayempenda yeye, awe diwani, Mbunge au Rais
Japo kwa Heshima na Taadhima namuomba kura yake upande wa Rais ampigie Mh Edward Lowassa, na naamini atampigia kura.
Naomba nimalize kwa kusema WATANZANIA wote tujitokeze Tr 25/10/2015 tukawapigie kura viongozi tunaoona wanafaaa,binafsi nawaomba kura za Mh. EDWARD LOWASSA na naamini tutampigia kura za kutosha na tutazilinda kwa amani bila vurugu yoyote ile. Tudumishe amani na upendo.
Ahsante
Kwa hiyo ukivunja sheria uachwe tu,, eti kwa kigezo cha kuogopa amani ivunjike,, nani kakwambia sheria zinatambua mpiga kura kulinda kura yake!!! hao icc sio wehu,, eti upigwe risasi au uumie kwa kulinda kura wakati hilo ni jukumu la serikali halali ambayo ipo madarakani.... Me nafikiri mnataka lowassa ndio apelekwe ICC maana wafuasi wake ndio wataua na kijiua wenyewe kwa kutotii sheria na amri halali ya vyombo vya dola,, CCM nao wakiamua kubaki vituoni kwa kigezo cha kulinda kura zao unafikiri nini kitatokea,, ACT,CHAUMA nao walinde kura zao sasa nini maana ya dola??? Tulipigania suala la katiba mpya tuwe na uchaguzi huru sasa mmewakumbatia wapinga katiba nakuwafanya viongozi wenu wa harakati huku wakifikiria urais na kusahau mengineyo...
ukiwa mzembe utakufa au kupata kilema kwa kumpigania mtu anayetaka kutimiza ndoto yake ya kuwa rais bila kujali damu kiasi gani itapotea,, na huwa mnasahau haraka sana maana lowassa alishawaambia suala la kura mumuachie nyie mpige kura na mkalale mengine alisema mumuachie sasa leo tena sijui imekuwaje hatua 100, siwezi kutoka damu au kufa kwa kupigania aina hii ya mabadiriko yanayoongozwa na watu ambao ni sehemu ya adui tunayepambana naye,,, acha harakati zisubiri hatuna haraka ila tunahitaji uhalisia...
Dah! Huwa nakukubali sana Mwalimu!
Wakina kingunge wanamvuruga kichwa hakutegemea yanayotokea
Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?
Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!
Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!
Ukishauri tu tusichague Mwizi, mbaguzi,Fisadi kuwa Rais mara nyingi watu kama wewe huwa mnaanza mashambulizi kwa nn? Je mnahitaji Mwizi, Fisadi Mbaguzi kuwa Rais? Nakushauri pigia kura wagombea waadilifu achana na wezi hata kama wamekuoa tempo la kuwakampenia. Kura ni siri ila ni dhamana kwa kizazi kijacho.Tanzania bila ya Wanasiasa Wezi, wapenda Rushwa inawezekana
Mzee nae atabaki analinda kura kule Monduli? Au ataacha yake iibiwe? Je watoto wake kina Fred na Pamela watalinda jura au wataacha ziibiwe?
Hayo hayakuhusu kila taasisi ina mgawanyo wake wa kazi.Mzee nae atabaki analinda kura kule Monduli? Au ataacha yake iibiwe? Je watoto wake kina Fred na Pamela watalinda jura au wataacha ziibiwe?
Ukishauri tu tusichague Mwizi, mbaguzi,Fisadi kuwa Rais mara nyingi watu kama wewe huwa mnaanza mashambulizi kwa nn? Je mnahitaji Mwizi, Fisadi Mbaguzi kuwa Rais? Nakushauri pigia kura wagombea waadilifu achana na wezi hata kama wamekuoa tempo la kuwakampenia. Kura ni siri ila ni dhamana kwa kizazi kijacho.Tanzania bila ya Wanasiasa Wezi, wapenda Rushwa inawezekana