Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,435
- 283,716
Asante sana kwa andiko zuri .
Hahahah! Ni rahisi kutenganisha tuwi la Nazi na Maziwa kuliko kutenganisha Lowassa na Rushwa
Idadi ya Watanzania wenye akili finyu kama zako itapungua endapo tu Lowassa atapata ridhaa yangu na kuingia ikulu kisha atekeleze vipaumbele vyake vitatu vya kwanza.
Nasema hivi kwa sababu, miaka na miaka CCM na serikali yake imekuwa ikikueleza kuwa Lowassa si fisadi, leo hii all of a sudden unaambiwa ni fisadi unakurupuka kama juha, umeangalia other factors?