Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Acha ukabila weweee unamtisha nani? ikumbuke Zimbabwe ndo utoe povu lako hapa we Kama muoga vaa sketi ukae ndani aibiwi mtu hapa.
 
Tuko wengi sana tulio tayari kufa, tuna furaha gani ya maisha?! si afadhari kuzaliwa mbwa Ulaya kuliko haya maisha tuliyo nayo !! Safari hii mtatuua mtumalize kulinda tutalinda.
 
Ahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaa anza kujifunza kazi za kujitegemea kibarua chako mwisho tar 25 shauli yako we bweteka tu

Ukishauri tu tusichague Mwizi, mbaguzi,Fisadi kuwa Rais mara nyingi watu kama wewe huwa mnaanza mashambulizi kwa nn? Je mnahitaji Mwizi, Fisadi Mbaguzi kuwa Rais? Nakushauri pigia kura wagombea waadilifu achana na wezi hata kama wamekuoa tempo la kuwakampenia. Kura ni siri ila ni dhamana kwa kizazi kijacho.Tanzania bila ya Wanasiasa Wezi, wapenda Rushwa inawezekana
 
Jana wakati anazindua mitambo sijui ni ya umeme:what: akasema nanukuu( dah! siku zimebaki chache..!!) alidhani umebaki mwaka sijui:what:
 
Acha ukabila weweee unamtisha nani? ikumbuke Zimbabwe ndo utoe povu lako hapa we Kama muoga vaa sketi ukae ndani aibiwi mtu hapa.

Zimbabwe kulitokea nini? Unafahamu ugomvi wa Zimbabwe wewe? Kama haufahamu nitakusaidia, Zim kuna makundi mawili Washona na Wandebele, Mugabe ni Mshona na wapinzani akina Tsvangirai ni Ndebele na hawa wana ugomvi wa muda mrefu na ndio maana Zim wameshindwa kumtoa Mugabe kwa kura kwa maana washona ni wengi klk Wandebele na hakuna Mshona anayempigia kura Mndebere Tsangirai na hakuna Mndebele anayempingia kura Mugabe hivyo basi Wandebele wako tayari kufa au kuumizwa kwa kuwa wanatetea Kundi lao, ni rahisi kihivyo tu!

Hivyo hayo mnayoyategemea hapa TanZania hayawezi kutokea, boda boda mtawapa hela wataandamana lkn mmoja akipigwa risasi wote watatawanyika kurudi nyumbani kwani hakuna kinacho waunganisha na fisadi Lowasa isipokuwa fedha na Mafuta ya bure sasa hiyo haitoshi kumfanya binadamu ajitoe mhanga!
 
Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Mkuu unamuwakilisha nani jf?
 
Tuko wengi sana tulio tayari kufa, tuna furaha gani ya maisha?! si afadhari kuzaliwa mbwa Ulaya kuliko haya maisha tuliyo nayo !! Safari hii mtatuua mtumalize kulinda tutalinda.
Mzee nae atabaki analinda kura kule Monduli? Au ataacha yake iibiwe? Je watoto wake kina Fred na Pamela watalinda jura au wataacha ziibiwe?
 
kaka usilie.....maana mimj naamini...hata JK anataka mabadiliko,pale anawazuga wajinga kina Nape na wengine....kwa ujumbe huu,kama ni KURA jua Lowasa anazo tatu....yangu, ya mke wangu na JK

Pokea like yangu, umejuaje?
 
Ww kufa hk wenzio tukiona kombe la dunia Qatar na hao unaowafia watakua wa kwanza kula pilau kwenye msiba wako baada ya kufukiwa, ww piga kura nenda ukalale.
 
Tuko wengi sana tulio tayari kufa, tuna furaha gani ya maisha?! si afadhari kuzaliwa mbwa Ulaya kuliko haya maisha tuliyo nayo !! Safari hii mtatuua mtumalize kulinda tutalinda.

Ni rahisi kusema lkn Historia inatufundisha kwamba hilo halijawahi kutokea popote pale Ulimwenguni, Watu siku zote huwa tayari kufa kutetea kile wanachokiamini na siku zote huwa ni Dini, undugu, ukanda na wakati mwingine kwa mbali itikadi zaidi ya hapo kama ni siasa tu hakuna kitu kama hicho, hiyo haitoshi, na ndiyo maana unaona wapalestina wako tayari kuvaa mabomu na kujilipua siyo kwa sababu ya Arafati HAPANA bali ni sababu ya dini, mdiyo inayowasukuma!
 
Ndugu zangu Kikwete hana hasira, watanzania ndio wana hasira mara elfu zaidi yake asubiri tu.Siku zote ukiona jambo linaloshupaliwa ujue kuna kitu nyuma ya pazia.Kila tukiamka wimbo ni mkipiga kura mrudi nyumbani Eti mnadhani mnaongea na mambulula bila kujua kuwa sasa ndio mnawaamsha na kuwaambia walinde kura zao kwa namna yoyote.
 
Hahahah! Ni rahisi kutenganisha tuwi la Nazi na Maziwa kuliko kutenganisha Lowassa na Rushwa

Pohamba;
Huwa mnapata faida gani kuwaondoa watu kutoka kwenye mada?? Kwa nini usianzishe uzi wako kuliko kuwaondoa watu kutoka kwenye mada?
Mada inamuuliza Mh JK kuwa hasira alizo onesha pale ni za nini?? Sasa weye unaleta vya kwako ati Lowasa ni mpenda rushwa. Huoni aibu kuingiza ya kwako ccm hapa??
Umejibiwa vizuri, wapenda rushwa wako ccm wala si pengine. Nyongeza ni kwamba, huyo huyo mpenda rushwa ndo tutamchagua alete MABADILIKO. Yaani. atusaidie kuing'oa tu ccm madarakani. Tumeichokaaaa
 
Me and my family kura kwa Lowasa, siku zimebaki chache hatutaki kusikia propaganda na matusi,
 
Back
Top Bottom