Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Barbosa unanisononesha kama kweli nawe ni mTz mzalendo, unashabikia upotofu !!?. Yaani leo hii waTz tufanywe kama kuku wa kizungu ???! Tupangiwe matokeo na tufurahi kuwa ndio AMANI ???!. Hapana tena mwambie kipenzi chako Jk chonde chonde asimalizie vibaya . Tunajua angependa mgombea ashinde kwa kishindo kama wakati wake (2005) . Hali ya leo kaisababisha yeye mpaka upinzani umekuwa mkubwa kiasi hicho.

Aache Mungu atupe kiongozi asitulazimishe
 
Pohamba;
Huwa mnapata faida gani kuwaondoa watu kutoka kwenye mada?? Kwa nini usianzishe uzi wako kuliko kuwaondoa watu kutoka kwenye mada?
Mada inamuuliza Mh JK kuwa hasira alizo onesha pale ni za nini?? Sasa weye unaleta vya kwako ati Lowasa ni mpenda rushwa. Huoni aibu kuingiza ya kwako ccm hapa??
Umejibiwa vizuri, wapenda rushwa wako ccm wala si pengine. Nyongeza ni kwamba, huyo huyo mpenda rushwa ndo tutamchagua alete MABADILIKO. Yaani. atusaidie kuing'oa tu ccm madarakani. Tumeichokaaaa

Ukiona kuna Comment unayohisi imetoka kwny Mada unaachana nayo, ku quote ni muendelezo wa kutoka kwenye mada, endelea kujadili mada. Kapige kura ila jua hakuna Kura ya turufu kila kura ina nguvu sawa Mshindi ni yule ataepata kura nyingi haijalishi ni kura za wasomi, wajinga, wa mjini au vijijini.
 
Isitoshe jk mwenyewe amesema waliojiandikisha kupiga lura ni millioni 28 wakati ni milioni~ 22.7 kulingana na NEC. Sasa najiuliza hizo kura milioni ~6 hapo zimetoka wapi?

Hizo kura milion 6 ni za wale Wahindi walioandikishwa Wiki iliopita na BVR za MM Steel
 
huo uhuru ulopatikana nchi hii una faida gani wakati nyenzo za kikoloni bado zipo,kupanic,kutoa amri kwa vyombo vya dola majukwaani pasi na kufata sheria,vitisho na kutisha kuadhibu watu hizi ni nyenzo za kikoloni nasio watu wenye uhuru
 
Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Hata wewe ni mjinga pia, haustahili kuandika huu umavi licha ya utumbo uliomsemea mwenzio! kumbuka sheria ni msumeno, hakuna mtu aliye juu ya sheria! kama sheria ya uchaguzi inarruhusu watu wakae umbali Fulani kutoka kituo cha kupigia kura, iweje watu walioamua kwa hiyari yao tena kisheria, wazuiliwe kusubiri matokeo? acheni ubabe jamani, hii nchi yetu sote kila MTU awe wa chadema, ACT, chauma nk ana haki ya kuongoza!
 
Kwa hiyo ukivunja sheria uachwe tu,, eti kwa kigezo cha kuogopa amani ivunjike,, nani kakwambia sheria zinatambua mpiga kura kulinda kura yake!!! hao icc sio wehu,, eti upigwe risasi au uumie kwa kulinda kura wakati hilo ni jukumu la serikali halali ambayo ipo madarakani.... Me nafikiri mnataka lowassa ndio apelekwe ICC maana wafuasi wake ndio wataua na kijiua wenyewe kwa kutotii sheria na amri halali ya vyombo vya dola,, CCM nao wakiamua kubaki vituoni kwa kigezo cha kulinda kura zao unafikiri nini kitatokea,, ACT,CHAUMA nao walinde kura zao sasa nini maana ya dola??? Tulipigania suala la katiba mpya tuwe na uchaguzi huru sasa mmewakumbatia wapinga katiba nakuwafanya viongozi wenu wa harakati huku wakifikiria urais na kusahau mengineyo...
ukiwa mzembe utakufa au kupata kilema kwa kumpigania mtu anayetaka kutimiza ndoto yake ya kuwa rais bila kujali damu kiasi gani itapotea,, na huwa mnasahau haraka sana maana lowassa alishawaambia suala la kura mumuachie nyie mpige kura na mkalale mengine alisema mumuachie sasa leo tena sijui imekuwaje hatua 100, siwezi kutoka damu au kufa kwa kupigania aina hii ya mabadiriko yanayoongozwa na watu ambao ni sehemu ya adui tunayepambana naye,,, acha harakati zisubiri hatuna haraka ila tunahitaji uhalisia...
 
JK alioonyesha hasira kwenye hotuba yake ni kweli kabisa, nashukuru si peke yangu niliyeona hilo
 
Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Ok, laki yote hayo ya nini, maana kama watu wametulia ktk eneo linaloruhusiwa kisheria, kwenda kuwa vuruga na labda mabomu huoni kama ndiyo chanzo cha vurugu.

Mbona tunashindwa kuvumiliana ili haki itendeke na kila mtu aridhike.

Kuwa zuia watu kulinda kura zao wakiwa wametulia katika eneo linaloruhusiwa kisheria, mtu wanayetegemea ashinde, akishindwa lazima wataamini kura zimeibiwa.

Kwa nini serikali kama wana hofu ya amani isiwalinde pale pale watakapo kuwa wame kusanyika kwa utulivu, wakilinda kura zao.
 
Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Wewe ndo huishi Tanzania. Sheria iko wazi na jk anajua kuwa wapiga kura wanaruhusiwa kuwa umbali unaokubalika kisheria wawe tayari kuona matokeo pindi yakibandikwa. Jk alibwabwaja kuwafurahisha wahafidhina.
Hivi unafikiri jwtz wana risasi ngapi vile ghalani? Amini usiami, hazitatosha kuwazuia watanzania kulinda kura. Jk analijua hilo. Kokote uliko ni vema na wewe ukafahamu ukweli huo.
 
Unajua hii serikali naishangaa sana...matokeo ya kila kituo yatabandikwa nje ya kituo husika, sasa unapowafukuza watu waondoke unamaanisha nini? Kwamba hutaki wayasome au? Huo uhuru uko wapi sasa? Sheria ya uchaguzi ipo wazi kabisa...mita 200!
 
Vituo vya uchaguzi vipo zaidi ya elfu 60...hao police wapo wangapi, na kila kituo watapangwa wangapi? Wasiwachokoze wananchi ambao wengi wao vijana hawana cha kupoteza.
 
Ni rahisi kusema lkn Historia inatufundisha kwamba hilo halijawahi kutokea popote pale Ulimwenguni, Watu siku zote huwa tayari kufa kutetea kile wanachokiamini na siku zote huwa ni Dini, undugu, ukanda na wakati mwingine kwa mbali itikadi zaidi ya hapo kama ni siasa tu hakuna kitu kama hicho, hiyo haitoshi, na ndiyo maana unaona wapalestina wako tayari kuvaa mabomu na kujilipua siyo kwa sababu ya Arafati HAPANA bali ni sababu ya dini, mdiyo inayowasukuma!

Huna hoja, na wewe unapaniki vilevile kama mwenyekiti wako. Vita ya Israel na Palestine haipo katika msingi wa dini. Bali katika ardhi ya ukanda wa Gaza. Kwa taarifa yako kuna maelfu ya wayahudi ambao ni waislam.
Fuatilia mambo kabla ya kuandika
 
Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Yaan we dem hauna akili kabisaaa mumeo ana kazi..
 
Acha ukabila weweee unamtisha nani? ikumbuke Zimbabwe ndo utoe povu lako hapa we Kama muoga vaa sketi ukae ndani aibiwi mtu hapa.

We lazima ni lile kabila lenye maslahi kama alivyosema anayeota u-firt lady ambao hata hivyo hataupata kamwe... Na hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza mfia fisadi rabda hao wanaojaziwa mafuta maana walishaharibiwa akili na haohao
 
Sijui ni wapi duniani huwa kura zinalindwa na wapiga kura??? Mabadiriko hayalazimishwi huja yenyewe automatic kwa maana ya watu ambao hujikuta tu kwenye wingi wa kudai mabadiriko kwa maana ya dhamira moja iliyomioyoni mwao baada ya kwa pamoja kugundua sehemu husika haina maisha na ni bora ya kifo,,, sijaona mtanzania aliyechoka kufikia kukinga kifua chake apigwe risasi kuwaokoa wengine au kwa manufaa ya kizazi kijacho,, msijaribu kulazimisha vitu kwa matakwa ya wachache waitakao ikulu,, hatuko tayari kuona familia zilizotelekezwa baada ya wapendwa wao kufa kutetea mabwanyenye ambayo hayatokuwa tayari kutoa msaada kwa wahanga zaidi ya kuendeleza urafiki na watawala huku watoto wakiendelea na biashara zao chafu.. jitahidi ufe ukipigania mabadiriko ya kweli ambayo mwishowe wahanga wataenziwa na kukumbukwa kwa ushujaa wao,,, vipi wahanga wa maandamano ya lema arusha na maandamano mengine ni nani anawakumbuka??? Zaidi yakumuona lema akiwafanya wauaji marafiki na kuwasujudia waende ikulu.. TUSIKURUPUKIE SIASA,, hata wasiompenda lowassa wako wengi na hawako tayari kuona mnalazimisha lowassa aende ikulu huku hastaili na kura hazikutosha,, think twice...
 
Mimi ni civil servant, na natakiwa niwepo kazini saa 6 mchana siku ya Jumapipili 25/10/2015. Nitakwenda kupiga kura asubuhi na mapema siku hiyo, na sitokwenda kazini siku hiyo. Sababu? JK keshasema tukimaliza kupiga kura turudi nyumbani. HOOOOOOOOORAY! Thanks JK
 
Back
Top Bottom