Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

kaka usilie.....maana mimj naamini...hata JK anataka mabadiliko,pale anawazuga wajinga kina Nape na wengine....kwa ujumbe huu,kama ni KURA jua Lowasa anazo tatu....yangu, ya mke wangu na JK

ICC wajiandae kupata wateja toka Zanzibar na Tanganyika baada ya uchaguzi
 
Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Bila shaka wewe ni wale madada wa kimboka...
 
Kikwete wa ajabu kweli kweli.
yaani anathubutu kusema wananchi wasilinde kura!!!!!? kwa mtizamo huo haishangazi faru wakimalizwa mbugani, haishangazi tembo wakiendelea kumalizwa hali ya kuwa kuna walinzi wa wanyamapori,
UNAWEZA KUACHA MLANGO WAZI KWA KUTEGEMEA POLISI? UKIACHA UKAIBIWA KISHERIA UTAWASHITAKI POLISI?
NI NINI DHANA YA ULINZI SHIRIKISHI.
KIKWETE USITUTANIE SISI SIO WATANI ZAKO.

Kaambiwa ayasemehe hayo na Membe ambaye kwa sasa wanamtegemea kama mfadhili mkuu wa chama baada ya January na mwigulu kuwapiga pesa za kampeni billion 1.7 na kuyumba kifedha, Membe ni Adui mkubwa wa Lowasa hataki kusikia Lowasa anakuwa Rais Maana anajua huenda akapelekwa mahakamani na ICC kudaiwa Uchunguzi kifo cha utata cha balozi wa Libya pia mali na mapesa ya Gadafi, huku pia akituhumiwa kupokea 10%!kwa kila nyumba za balozi zilizonunuliwa huko nje ya Nchi, hisa zake kwenye Mladi wa vitambulisho vya Taifa, ufujaji pesa kwenye mfuko wa hazina za Safari za viongozi nje ya Nchi na wageni wa kimataifa pamoja na mbinu zake nyingi .
 
Hasira Hazisaidii, Watanzania Watafuata Sheria za Nchi Na Sheria ya Uchaguzi Inayosema Meta 200 toka Kituo Cha Kupigia Kura ni Eneo la Kujidai.

Sheria ya Uchaguzi Itawaweka Huru watanzania, Mengine Yanayojiei ni Panic tu na Hofu ya Kufail.

Lakini mita 200 naonaa kama mbalii sanaa
 
Kikwete wa ajabu kweli kweli.
yaani anathubutu kusema wananchi wasilinde kura!!!!!? kwa mtizamo huo haishangazi faru wakimalizwa mbugani, haishangazi tembo wakiendelea kumalizwa hali ya kuwa kuna walinzi wa wanyamapori,
UNAWEZA KUACHA MLANGO WAZI KWA KUTEGEMEA POLISI? UKIACHA UKAIBIWA KISHERIA UTAWASHITAKI POLISI?
NI NINI DHANA YA ULINZI SHIRIKISHI.
KIKWETE USITUTANIE SISI SIO WATANI ZAKO.

You have spoken man
 
POVU Kibao Hoja Za WanaCCM Hazina MASHIKO Kabisaa!! Mnatengeneza Mazingira Ya Wizi Tu!! Sote Tunajua Na Tunaona Jinsi Mawakala Wanavyokuwa Wakinunuliwa!! Mbona WATANZANIA Wanafahamu Hilo!! Kama Viongozi Wakubwa Tu Ktk Siasa Wamenunuliwa Na Kufanya Kazi Za CCM!! Itakuwa Kwa Wanachama WADOGO Tu!!!?? Kuna MSEMO USEMAO " Kila Mtu Ana Bei Yake " Mf. Wakala Wa UKAWA Amepewa Million 1 Tu!! Na Anakuja Mtu Na Million 3 Cash!! Hebu Mtuambie Hapo!! Hapo NDIO WanaCCM POVU Linapowatoka!!

mtapigwa tuuu kwa kua hakuna namna mjifanye mnataka madaraka kwa nguvu
 
Membe anahaha usiku na mchana kubuni mbinu za kumzuia Lowasa asifike ikulu Maana wanajua pindi ukawa wakiingia ikulu watadaiwa mapesa yote waliyoyapora.
 
Walishamkata sasa kama na yeye lowassa alikuwa ana ndoto ya kuwa Rais..basi atakuwa maana Kaja Ukawa na kwa sasahakuna namna nyingine Ni lowassa tu ndie atakaye tuvusha katika Lindi la ujinga huu ulioachwa na chama cha kishenziiiiiiii ccm..

Pili raia wapo wengi kuliko polisi, wataua wangapi? kwa kasi hii ya changes hakuna atakae baki nyuma ni KUFA AMA KUPONA.. wacha tuchapane tu.
 
Mrisho kapagawa pumzi imekata na kadri siku zinzvyoyoyoma ndo matumaini yanazidi kukata so kupanick ni defensive mechanism ili kutisha wanabambadiliko, TUNASEMA HIVI KURA TUTAPIAGA NA TUTAZILINDA KAMA WAO SIO WEZI KWANINI WANATUZUIA?
 
1.Unrestrained by external checks any individual or group will tynarize over others.
2.Tyrrany is a severe deprivation of natural rights.
3.Accumulation of all powers legislative, executive and judicial in same hands implies elimination of external checks hence implies tyrrany.
 
Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

yani wewe ni zuzu!! mbululaaa! ----! boya! mwendawazimu! pumbavu! hujui hata katiba ya nchi yako inasema nini! mropokaji! mnenguaji! mkata mauno! kilaza!
 
Polisi hawazidi 45000
Vituo viko 65000
Ukipiga hesabu ni Polisi Mmoja kwa kila kituo...
 
Ujumbe wako una pointi ya msingi kuwa Rais amesema tukimaliza kura ni vema tukarudi majumbani. Kama mkuu wa nchi anawajibika kulinda amani ya nchi na aiyache salama kama alivyokabidhiwa salama. ni busara ya hali ya juu sana.

Tatizo ilivyowekwa au kusomwa kwenye hotuba ya Mkuu ni haikunyooka ndiyo maana inaleta shida. NEC wafafanue sheria ili watu waelewe tufuate kipi? Maana huyo Mbowe ananukuu sheria ya NEC hiyo hiyo kuwaambia wananchi. Hili swala liwekwe sawa tunataka amani ya nchi jamani.

Pia, kasoro niliona ni kufafanua hili swala kwa kuponda majina ya watu sijui Lissu, Mbowe, Mtei, Lowassa... sisi hayo hayatuhusu. tupate kauli tuende nyumbani au tubaki kituoni kutangaziwa matokeo. mimi binafsi ni wagombea wangu vya vyama tofauti nitawapa si wote watapata kura yangu. Diwani, mbunge na rais hao nitagawa kura.

Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Nina uhakika wewe hauishi TanZania na ndiyo maana umeandika utumbo ulioandika, eti uko tayari kufa, unafikiri kuna Mtz ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa? Au hao bodaboda mnaowawekea mafuta na kuwajaza barabarani ndiyo unafikiri watakaposikia risasi bado watabaki kulemazwa na kufa kwa ajili ya fisadi Lowasa na Genge lake ambaye atakuwa amejifungia Masaki aua hata kwenye vila lake Ulaya?
Usichangane mambo, kumbuka TanZania siyo Kenya na wala WatanZania siyo Wakenya, wakenya walipigana na kuuwana kwa sababu kila mtu alikuwa anatetea Kabila lake na alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kabila lake sasa Mmachinga wa Masasi awe tayari kufa kwa ajili Mbowe wa kutoka Hai au Mtei wa Tengeru au sijui Tundu Lisi wa Singida kwa lipi?

Kabla kuandika mambo kama hayo jifunze kwanza kidogo Historia ya Dunia labda utaelewa ni mambo gani huwafanya watu wawe tayari kujitoa muhanga na kufa, hakuna Dunia hii aliyetayari kufa kwa ajili tu ya Mwanasiasa ambaye hana uhusiano naye wa karibu kama kikanda, kidini au kidamu!

Kwa kifupi nakuhakikishia hakuna Mtz atakayakaidi agizo la Raisi JMTZ kwa maana hakuna aliyetayari kuumia kwa ajili ya fisadi Lowasa, Mbowe, Tundu Lisu &Co.!

Povu Tupu!
Sisi tupo tayari kufa kwa ajili ya Tanzania yetu mabadiliko sio lelemama napiga kura mita 100 naweka kambi mpaka kieleweke
 
Naomba ujumbe huu umfikie mh Jakaya Mrisho Kikwete, Amiri jeshi mkuu wa jamhuri ya muungano Tanzania, Rais aliyebakiwa na siku chache, masaa machache kuiacha Ikulu. Swala la kuiacha ikulu ni swala la kikatiba, tena lipo wazi hakuna wa kulipinga.

Nimefuatilia hotuba ya Rais J. K, kwa makini sana, hasa kwenye kipengele kile cha uchaguzi. Ametumia hasira, ameongea kwa ghadhabu na vitisho vingi kwa watu wa upinzani.

Nikajiuliza sana juu ya kauli zake.
Kwanza nilijihoji mwenyewe kwamba haya maazimisho ni ya chama cha mapinduzi CCM au ni maazimisho ya kilele cha Mwenge au ni maazimisho ya kifo cha mwasisi wa Taifa Letu Mwl. J. K. Nyerere? Maswali haya yalinijia baada ya kuona Mh J. KIKWETE ameuvaa U CCM na sio Urais.

Najua sina uwezo wa kumfikia moja kwa moja Mkuu wa nchi, ila ujumbe wangu utamfikia moja kwa moja au kupitia kwa wapambe wake.

Mh Rais naomba utambue mambo mawili matatu toka kwetu sisi tulio malofa na wapumbavu.Na kwa nia njema kabisa naomba ujue kuwa

1.Hatutaogopa kupigwa mabomu, kufungwa, kuuwawa au lolote kwa kutafuta haki yetu ya msingi. Tunaamin kuwa kifo ni siku moja tu wala sio mara mbili.

2.Tutapiga kura zetu na kuzilinda kwa mjibu wa sheria, taratibu na kanuni za uchaguzi wala si vinginevyo.
Hakuna wakututisha hata kidogo ndani ya nchi yetu ambayo tunaamini ni ya kidemokrasia.

3.Tutahakikisha mgombea tunayemhitaji anashinda kwa kumpigia kura nyingi za kutosha na kuhakikisha hakuna atakayeiba kura zetu, najua mwalijua hilo.

5.Kwa umoja wetu tutashirikiana na vyombo vyote kulinda amani ya nchi yetu Tanzania.

5.Tutatoa ushirikiano kwa yeyote anayependa haki itendeke, na tutamdhibiti atakayejaribu kupoka haki yetu.
Ikumbukwe mita 100 sio mbali sana ni sawa na usawa wa gori moja hadi gori jingine katika uwanja wa mpira.

Rais Kikwete kitendo cha kututishia kuwa tutakaolinda kura tutadhibitiwa na umeyaongea maneno haya kwa hasira kuu, unatudhihirishia wazi kuwa Chama chako cha CCM kimejipanga kuiba kura au kufanya kinyume na taratibu za uchaguzi .

Kama mlipanga mbinu chafu mkadhani tutaogopa basi imekula kwenu, tunatambua wazi kuwa, kuna magari mengi ya washawasha, askari wengi, vitendea kazi vya kisasa lakini sisi tunasema hatutaogopa vifaa hivyo kwakuwa sisi sio watu wa fujo ni watu wa haki.

Mwisho napenda Mh J. KIKWETE atambue kuwa yeye kaongoza kwa miaka yake 10 na anakwenda kupumzika, hivyo aende akapumzike kwa amani kabisa, ajiepushe na matamko yatakayokuja kumpeleka ICC wakati hakustahili kwenda huko hata kidogo, na Tr 25/10/2015 akapige kura alipojiandikishia amchague anayempenda yeye, awe diwani, Mbunge au Rais

Japo kwa Heshima na Taadhima namuomba kura yake upande wa Rais ampigie Mh Edward Lowassa, na naamini atampigia kura.

Naomba nimalize kwa kusema WATANZANIA wote tujitokeze Tr 25/10/2015 tukawapigie kura viongozi tunaoona wanafaaa,binafsi nawaomba kura za Mh. EDWARD LOWASSA na naamini tutampigia kura za kutosha na tutazilinda kwa amani bila vurugu yoyote ile. Tudumishe amani na upendo.
Ahsante

Lofa wewe pumba tupu umechoka wewe ndio ukafe
 
Povu Tupu!
Sisi tupo tayari kufa kwa ajili ya Tanzania yetu mabadiliko sio lelemama napiga kura mita 100 naweka kambi mpaka kieleweke

We ndio wale munijitihaga ushujaa eeh,nakusubiria nikutoree rimufano muraa... Richai rako riko jikoni!
 
Back
Top Bottom