Hashycool, AD, Michelle, TF, Asprin, Kloroquine and the team

naelewa mnagombea jimbo moja hehehee utakula ban wewe na family members wako wote. dah! sasa tumpe award gani mchizi?

Kwani jamani siasa ni ugomvi? mimi na my x bro in law hashy nia yetu ni kuwatumikia wananchi kwenye lile jimbo nikikosa mie nitampa ushirikiano siasa sio ugomvi jamani. Hasa sie tunaoamini hoja ya mgombea binafsi japo watawala wanaiogopa kama ukoma.
 
What Can I Say....., Thanks Mkuu Wote uliwaowasema hapo wewe na JF nzima ni my peoples.....
From Aalim mpaka wale wenye herufi za Z kina Zhu na Zubeda
 
afadhali umeniweka mimi na baba watoto pamoja kwa sababu mimi na yeye ni kitu kimoja....
maana huwezi kula ugali bila mboga hahahahahaha lol.

sante sana dear kwa kuturusha hewani lol

Inabidi lakini ujitume maana jana kwenye pitapita zangu kuna mdada nimeona kaweka signature " I love you The Finest" kumkagua nikakuta kajichora picco mikononi na miguuni kaandika makopakopa kibao na jina la shemeji yangu The Finest.
 
Inabidi lakini ujitume maana jana kwenye pitapita zangu kuna mdada nimeona kaweka signature " I love you The Finest" kumkagua nikakuta kajichora picco mikononi na miguuni kaandika makopakopa kibao na jina la shemeji yangu The Finest.
Kama ni mdada wa Tanga nimekwisha lol!!!!!
 
nyumba ya pili paka akilia nyauuuuu....basi nyumba ya pili tunazika mtu na tuna msahau....l.o.l

Oooooh ule mtaa wa hof hofu yaani mashaka tele juma ennnnn mwambie mama haruna aingize ndani watoto mapema........ au nimechanga mkuu do u mean uswahili kuna vituko "eti hii yenyewe video" lol
 
Kama ni mdada wa Tanga nimekwisha lol!!!!!

Haki ya Mungu nimemuona I think anaenda kwa jina la Preety kama sikosei mdada mmoja wa kidigo kajipamba na dhahabu mpaka kwenye mashavu ya nini ileee aah nimeisahau.............
 
Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana, haina maana kunyimana, sisi ni kama samaki na maji au mbu na malaria

hahahahaha lol
mizizi na ardhi lol

kabla sijasahau
nimeona unachakachua mahali yule ni TF
Wangu?
Au kuna mwingine?
 
wewe uko kwenye list yangu nitaitaja neksti week kwenye press conference maeneo ya uwanja wa fisi
Nimepata nyumba ya kupanga pale tandale kwa mtogole na nyingine tandale kwa tumbo nilikuwa nataka unisindikize kesho saa 3 asubuhi kuangali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom