Hashycool, AD, Michelle, TF, Asprin, Kloroquine and the team

dah! Umenipaisha mkubwa leo.......l.o.l
we ndo mchizi wangu.....uliniwekea dhamana nilipotupwa selo........l.o.l
 
mmh, safari hii hata mimi umenisahau? haya bwana sitakutungia tena mashairi
 
dah senks mchizi, kwa ulivyonipaisha. aisee mbona wewe pia uko juu sana. acha niwashtue machizi waliotajwa kwenye hii sredi tukupigie debe wakupe u mod (only if interested).
 
dah senks mchizi, kwa ulivyonipaisha. Aisee mbona wewe pia uko juu sana. Acha niwashtue machizi waliotajwa kwenye hii sredi tukupigie debe wakupe u mod (only if interested).

huyu anafaa umod kwenye mashairi tu akiwekwa na kwingine nimepigwa ban.....si unajua tuna interest moja?....l.o.l
 
dah senks mchizi, kwa ulivyonipaisha. aisee mbona wewe pia uko juu sana. acha niwashtue machizi waliotajwa kwenye hii sredi tukupigie debe wakupe u mod (only if interested).

Thanks for the compliments
Nakuombea mazuri coz we ndio mchizi wangu,Mchizi hatukusoma tumekutana tu jamvini,udogo sikucheza na wewe..............we mchizi wangu wa ukubwani
 
afadhali umeniweka mimi na baba watoto pamoja kwa sababu mimi na yeye ni kitu kimoja....
maana huwezi kula ugali bila mboga hahahahahaha lol.

sante sana dear kwa kuturusha hewani lol
 
huyu anafaa umod kwenye mashairi tu akiwekwa na kwingine nimepigwa ban.....si unajua tuna interest moja?....l.o.l
naelewa mnagombea jimbo moja hehehee utakula ban wewe na family members wako wote. dah! sasa tumpe award gani mchizi?
 
afadhali umeniweka mimi na baba watoto pamoja kwa sababu mimi na yeye ni kitu kimoja....
maana huwezi kula ugali bila mboga hahahahahaha lol.

sante sana dear kwa kuturusha hewani lol

Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana, haina maana kunyimana, sisi ni kama samaki na maji au mbu na malaria
 
afadhali umeniweka mimi na baba watoto pamoja kwa sababu mimi na yeye ni kitu kimoja....
maana huwezi kula ugali bila mboga hahahahahaha lol.

sante sana dear kwa kuturusha hewani lol

halaf kila nikijitahidi post yangu ikae juu ya post ya afrodenzi sjui kwanini sfanikiwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom