Hashycool, AD, Michelle, TF, Asprin, Kloroquine and the team

Hashycool, AD, Michelle, TF, Asprin, Kloroquine and the team

jamani niulize kwanza kidogooo maana ya mchizi si ni mtu ambae hana akili sawa sawa???
ukimchunguza bata hautomla sweetheart, wewe gonga senks tu halaf uchune. si umeona hata JF Moderator 2 kaitwa mchizi na hakutoa ban
 
Malaria Sugu sidhani kama rafiki humu ndani.
 
Nina kesi na huyu mtu
atakaye muona please
tafadhali piga hii number 0800 84 83 84
anatafutwa na FBI ( AD)


Haya kaka Shossi 5 kumbe una kesi tena, du! usipotee namna hiyo ndugu yangu. Unajua mchango wako unahitajika jamvini. I've always liked your opinions. Do keep up the good job!!!
 
Haya kaka Shossi 5 kumbe una kesi tena, du! usipotee namna hiyo ndugu yangu. Unajua mchango wako unahitajika jamvini. I've always liked your opinions. Do keep up the good job!!!

Sherrif
ndo umenikamatia
mualifu wangu au ??
 
Usiwe na hofu kwani kaka Shossi 5 atajisalimisha tu. Ameshakusikia. Na huyu ndugu yetu Hashy Cool nae sijui kapotelea wapi?

Taarifa za huyu ndugu yetu
wa pili ninazo (Hashycool)
mzima kabisa bado anadunda na
miondoko lakini atarejea nyumbani
muda si mrefu ...
 
Taarifa za huyu ndugu yetu
wa pili ninazo (Hashycool)
mzima kabisa bado anadunda na
miondoko lakini atarejea nyumbani
muda si mrefu ...

Haya Afrodenz, mie naingia kulala kwani ni usiku sana hapa ninapoishi. Msalimie sana Shossi na Hashy! Jioni njema🙂
 
Haya Afrodenz, mie naingia kulala kwani ni usiku sana hapa ninapoishi. Msalimie sana Shossi na Hashy! Jioni njema🙂

asante dear
kwa kunijulia hali
nakutakia usiku mwema
na mii ntabaki hapa nikusaidie kulinda jukwaa
bila wasi utakuwa kipande ya kule chini ya dunia
hahahahahha lol sweet dreams dear nite nite :happy::happy:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom